Gari hizi usisafiri nazo Mkoani: Usifanye haya, Tanganyika inakuhitaji.

View attachment 2842479

View attachment 2842477View attachment 2842478

Kuelekea sikuku ya Kuzaliwa Yesu, mkombozi wa wandamu wote, Watu wanasafiri sanna mkoa mmoja kwenda mwengine kujumuika na familia zao kumsheherekea Issa bin Maram au Yesu kama wakristo wanavyyomuita.
.
Ajali nyingi kipindi hiki na hasa watu wanaotoka Dar kwenda mikoani.
Sababu za ajali ni pamoja na :

1. Aina ya gari, mfano Prado Mchagga huwa zinakatika miguu ya mbele hta kama ni mpya, hiyo ni defect toka kiwandani na inaasikitisha mpaka leo TBS wanaruhusu hizo gari kuingia nchini.

2 . Nissan dualis, zimeumbiwa baridi, nyingi zinaungua na madereva unakuta kaweka mziki mnene ndani hasikii wala kujua kinachoendelea.

3.Passo, Ractic na vigari sivivyozidi CC 1000 si kwa safari ndefu, vinapeperushwa na upepo, piston ndogo unakuta dereva wa Passo anata ku -overtake garo ya cc 4000.

4.Unywaji Pombe:- Dereva unakeha usiku na marafiki zako bar, mnaagana saa saba usiku alafu saa 11 alfajiri upo barabarani huku ukijidanganya na malta na kahawa, ndugu utasinzia tu.

5. Kufanya mapenzi kabla ya safari: Kufanya mapenzi kabla ya safari ,wanaita kuagana, unakesha kwa mwanamke unapiga mpaka alfakjiri then kuoga huogi unakamata usukani, uchovu unkubeba unafia ajalini.

6. Kula na kuvimbiwa: Unakula kwa kukomoa chakula, nyama zinahitaji oksijeni kumengenywa, utakula digestion ikianza unasinzia, unalala barabarani.

7. Kushondana kuwahi safari, unachati na wenzako mnaokwenda msohi na kuringishiana mlipofika, unataka uwaki zaidi ya mwenzio, utapata ajali.

8. Kutokujua barabara, mfano maeneo ya msambiazi kuna kona kali na zipo nyingi, kama hujui lazma ujibamize: Eneo lingine hatari ni Same na Hedaru kuna upepo mkali, gari ikipigwa upepo inahama hivyo eneo hili hakikisha unafunga vioo vyote.

9. TRAFFCIK:Hawa ni chanzo cha ajali , wanasimamisha gari popote bila kuzingatia ajjaye nyuma ya mhusika, ndio unagongwa unajifia.

10. Mashimo ya muda mrefu na TANROAD kuyasusa, hapa unakuta unakwepa shimo ukidhani utamuwahi wa upand wa pili unafia hapo. Mnakumbuka yule bibi harusi anaitwa Chao alikufa pale Same na mama yake wakitokea morogoro, walikuwa wanakwepa shimo barabarani wakakutana na gari ya upande wapili.

11. Gari zilizofunga breki za kichina, hakikisha una breki za uhakika, achana na maspea ya Mtaa wa lumumba, kule wanauza famba.

12. Bajaji hasa maeneo ya miji mipya, korogwe, mkata, msata zenyewe zinamadereva hawana leseni na wanajihisi wao ni kiola kitu, jichunge na bajaji, ukiona anakuja kuliko upinduke mbamizie mtaroni ujisalimishe polisi.

MVUA zinazoendelea kunyesha sehemu kubwa nchini zitaendelea kuwa chanzo cha ajali nyingi iwapo madreva hawatakuwa waangalifu na kuzingatia alama za usalama barabarani.

VIFO VYA AJALI BARABARANI
(a) Uendeshaji wa hatari
(b) Uzembe wa dereva=1573
(c) Uzembe wa waendesha baiskeli=205
(d) Uzembe wa waendesha pikipiki=1142
(e) Uzembe wa abiria=6
(f) Mwendokasi=509
(g) Mifugo=13
(h) Kupita gari bila uangalifu(overtake)=265
(i) Uzembe wa waenda kwa miguu=388
(j) Uzembe wa waendesha mikokoteni=7
(k) Ulevi=93

NB: Serikali ipige marufuku hizi Prado zinaaitwa PRADO MCHAGGA
Mwaka huu nimeamua kwenda na tractor John Deere
 
kwa hizo prado ni kweli ....mimi mwenyewe nimeshuhudia 2 zikiwa zimechomoka Tairi la mbele ...hadi nikaziogopa hizo gari...!​
Kunasiku nami nasafir kulikuwa na msafara gari kama nne aisee Ile Prado ilivhomoka tair moja la mbele kitu kizuri haikupinduka na haikuwa barabara yenye gari nying
 
Kwanza zina tabia ya kujipiga mtama
hiyo pia niliwahi kushuhudia kijijini kwetu kina mwamba kwao wanazo nazo...alikuwa na misifa eti anafanya drifting na prado...kilicho mtokea aliomba wahuni wamsaidie kuibinua🤣🤣🤣🤣

akazalilika yeye na demu wake maana ilw gari ili pinduka kiubavu ubavu​
 
Prado mchaga sio kwamba ata ni bol joint inachomoka inakuaga na tabia ya kufunguka bolt zilizofunga bol joint.... uyu mjapani aliweka bolt ndogo sana kwe sehem inayobeba uzito mkubwa wa gari
 
View attachment 2842479

View attachment 2842477View attachment 2842478

Kuelekea sikuku ya Kuzaliwa Yesu, mkombozi wa wandamu wote, Watu wanasafiri sanna mkoa mmoja kwenda mwengine kujumuika na familia zao kumsheherekea Issa bin Maram au Yesu kama wakristo wanavyyomuita.
.
Ajali nyingi kipindi hiki na hasa watu wanaotoka Dar kwenda mikoani.
Sababu za ajali ni pamoja na :

1. Aina ya gari, mfano Prado Mchagga huwa zinakatika miguu ya mbele hta kama ni mpya, hiyo ni defect toka kiwandani na inaasikitisha mpaka leo TBS wanaruhusu hizo gari kuingia nchini.

2 . Nissan dualis, zimeumbiwa baridi, nyingi zinaungua na madereva unakuta kaweka mziki mnene ndani hasikii wala kujua kinachoendelea.

3.Passo, Ractic na vigari sivivyozidi CC 1000 si kwa safari ndefu, vinapeperushwa na upepo, piston ndogo unakuta dereva wa Passo anata ku -overtake garo ya cc 4000.

4.Unywaji Pombe:- Dereva unakeha usiku na marafiki zako bar, mnaagana saa saba usiku alafu saa 11 alfajiri upo barabarani huku ukijidanganya na malta na kahawa, ndugu utasinzia tu.

5. Kufanya mapenzi kabla ya safari: Kufanya mapenzi kabla ya safari ,wanaita kuagana, unakesha kwa mwanamke unapiga mpaka alfakjiri then kuoga huogi unakamata usukani, uchovu unkubeba unafia ajalini.

6. Kula na kuvimbiwa: Unakula kwa kukomoa chakula, nyama zinahitaji oksijeni kumengenywa, utakula digestion ikianza unasinzia, unalala barabarani.

7. Kushondana kuwahi safari, unachati na wenzako mnaokwenda msohi na kuringishiana mlipofika, unataka uwaki zaidi ya mwenzio, utapata ajali.

8. Kutokujua barabara, mfano maeneo ya msambiazi kuna kona kali na zipo nyingi, kama hujui lazma ujibamize: Eneo lingine hatari ni Same na Hedaru kuna upepo mkali, gari ikipigwa upepo inahama hivyo eneo hili hakikisha unafunga vioo vyote.

9. TRAFFCIK:Hawa ni chanzo cha ajali , wanasimamisha gari popote bila kuzingatia ajjaye nyuma ya mhusika, ndio unagongwa unajifia.

10. Mashimo ya muda mrefu na TANROAD kuyasusa, hapa unakuta unakwepa shimo ukidhani utamuwahi wa upand wa pili unafia hapo. Mnakumbuka yule bibi harusi anaitwa Chao alikufa pale Same na mama yake wakitokea morogoro, walikuwa wanakwepa shimo barabarani wakakutana na gari ya upande wapili.

11. Gari zilizofunga breki za kichina, hakikisha una breki za uhakika, achana na maspea ya Mtaa wa lumumba, kule wanauza famba.

12. Bajaji hasa maeneo ya miji mipya, korogwe, mkata, msata zenyewe zinamadereva hawana leseni na wanajihisi wao ni kiola kitu, jichunge na bajaji, ukiona anakuja kuliko upinduke mbamizie mtaroni ujisalimishe polisi.

MVUA zinazoendelea kunyesha sehemu kubwa nchini zitaendelea kuwa chanzo cha ajali nyingi iwapo madreva hawatakuwa waangalifu na kuzingatia alama za usalama barabarani.

VIFO VYA AJALI BARABARANI
(a) Uendeshaji wa hatari
(b) Uzembe wa dereva=1573
(c) Uzembe wa waendesha baiskeli=205
(d) Uzembe wa waendesha pikipiki=1142
(e) Uzembe wa abiria=6
(f) Mwendokasi=509
(g) Mifugo=13
(h) Kupita gari bila uangalifu(overtake)=265
(i) Uzembe wa waenda kwa miguu=388
(j) Uzembe wa waendesha mikokoteni=7
(k) Ulevi=93

NB: Serikali ipige marufuku hizi Prado zinaaitwa PRADO MCHAGGA

Andiko la hovyo kabisa, yani Prado 2RZ petrol haifai safiria? Shida ni udereva
 
Kuna hoja ya gari ndogo, hapo nakupinga. Passo na wenzake kuanzia 1L unasafiri vizuri tu tena trip ya 600km bila tatizo.

Tatizo ni kuendesha magari bila kuyaangalia, hatufanyi services kwa wakati au hatufanyi hadi tupate safari.
 
Na 3RZ ndiyo za mwisho mwisho TX LIMITED nafikiri.Ila ninachojua unapaswa kukata kona ukiwa kwenye mwendo mdogo vinginevyo inanyanyuka upande mmoja.

Nimesema 2Rz nenda online kaangalia current prado ina engine gani, nenda kaangalia prado yenye 2rz hata kam ni shape ya zaman kama utapata chini ya 25m.

Ma prado ya hovyo ya zamani yana 1kz diesel, yanauzwa hata 8m unapata, usiwe mjuaji kwa vitu ambavyo huvijui kabisa, waendesha mikebe mna shida sana.

Wewe hata gari hujui endesha, gari yeyote kwenye kona, lazima uwe na speed ndogo (form 2 physics) , acha kusikiliza maneno ya vijiweni ya madereva uchwara.
 
Back
Top Bottom