Na surf nazo zipo kama hizokwa hizo prado ni kweli ....mimi mwenyewe nimeshuhudia 2 zikiwa zimechomoka Tairi la mbele ...hadi nikaziogopa hizo gari...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na surf nazo zipo kama hizokwa hizo prado ni kweli ....mimi mwenyewe nimeshuhudia 2 zikiwa zimechomoka Tairi la mbele ...hadi nikaziogopa hizo gari...!
Hii hapa ina engine ya 3RZ Petrol ni ya 2000 na nimeiendesha kwa zaidi ya miaka 6 self driven ninaongea kitu nilicho na uzoefu nacho acha makasiriko yasiyo na sababu.View attachment 2843402
Umeandikiwa na nani?Usitutishe
Kama umeandikiwa utakufa December hii Kwa ajali utakufa tu
Haiwezekani Kwa mtu aliyejibana mwaka mzima akanunua gari halafu uje umpangie matumizi asiende nalo kwao
Ishu za kukatika rear axle kenya hapa wanaziunga na bomba la chuma la nchi 4 kusuport.Dah! Hiyo Prado Mchaga ndiyo imenikatisha kabisa tamaa. Maana nilikuwa naikubaki sana. Na hasa ile ya dizeli.
Duh job true trueIssa bin Mariam ni mhuni flani hivi wala siyo Yesu Kristo mwana wa Daudi, acha kupotosha watu we jamaa.
Hatubishani tunaelezana tuu rafikiView attachment 2843418
Hilo nalo mkalitazameView attachment 2842479
View attachment 2842477View attachment 2842478
Kuelekea sikuku ya Kuzaliwa Yesu, mkombozi wa wandamu wote, Watu wanasafiri sanna mkoa mmoja kwenda mwengine kujumuika na familia zao kumsheherekea Issa bin Maram au Yesu kama wakristo wanavyyomuita.
.
Ajali nyingi kipindi hiki na hasa watu wanaotoka Dar kwenda mikoani.
Sababu za ajali ni pamoja na :
1. Aina ya gari, mfano Prado Mchagga huwa zinakatika miguu ya mbele hta kama ni mpya, hiyo ni defect toka kiwandani na inaasikitisha mpaka leo TBS wanaruhusu hizo gari kuingia nchini.
2 . Nissan dualis, zimeumbiwa baridi, nyingi zinaungua na madereva unakuta kaweka mziki mnene ndani hasikii wala kujua kinachoendelea.
3.Passo, Ractic na vigari sivivyozidi CC 1000 si kwa safari ndefu, vinapeperushwa na upepo, piston ndogo unakuta dereva wa Passo anata ku -overtake garo ya cc 4000.
4.Unywaji Pombe:- Dereva unakeha usiku na marafiki zako bar, mnaagana saa saba usiku alafu saa 11 alfajiri upo barabarani huku ukijidanganya na malta na kahawa, ndugu utasinzia tu.
5. Kufanya mapenzi kabla ya safari: Kufanya mapenzi kabla ya safari ,wanaita kuagana, unakesha kwa mwanamke unapiga mpaka alfakjiri then kuoga huogi unakamata usukani, uchovu unkubeba unafia ajalini.
6. Kula na kuvimbiwa: Unakula kwa kukomoa chakula, nyama zinahitaji oksijeni kumengenywa, utakula digestion ikianza unasinzia, unalala barabarani.
7. Kushondana kuwahi safari, unachati na wenzako mnaokwenda msohi na kuringishiana mlipofika, unataka uwaki zaidi ya mwenzio, utapata ajali.
8. Kutokujua barabara, mfano maeneo ya msambiazi kuna kona kali na zipo nyingi, kama hujui lazma ujibamize: Eneo lingine hatari ni Same na Hedaru kuna upepo mkali, gari ikipigwa upepo inahama hivyo eneo hili hakikisha unafunga vioo vyote.
9. TRAFFCIK:Hawa ni chanzo cha ajali , wanasimamisha gari popote bila kuzingatia ajjaye nyuma ya mhusika, ndio unagongwa unajifia.
10. Mashimo ya muda mrefu na TANROAD kuyasusa, hapa unakuta unakwepa shimo ukidhani utamuwahi wa upand wa pili unafia hapo. Mnakumbuka yule bibi harusi anaitwa Chao alikufa pale Same na mama yake wakitokea morogoro, walikuwa wanakwepa shimo barabarani wakakutana na gari ya upande wapili.
11. Gari zilizofunga breki za kichina, hakikisha una breki za uhakika, achana na maspea ya Mtaa wa lumumba, kule wanauza famba.
12. Bajaji hasa maeneo ya miji mipya, korogwe, mkata, msata zenyewe zinamadereva hawana leseni na wanajihisi wao ni kiola kitu, jichunge na bajaji, ukiona anakuja kuliko upinduke mbamizie mtaroni ujisalimishe polisi.
Mnaoendesha kwend amikoani kupitia njia ya Dar -Chalinze, hii barabara ina malori mengi, pia ina kashata yani imetitia upande upande, sasa ukiwa una overtake hakikisha unatoka kwa hatua na kurudi taratibu na pia hii barabara ni hatari sana kwa malori, dereva katoka Tunduma, Rwanda, Zambia, Congo wanakuwa wamechoka na wanasinzia hivyo hawana umakini na gari ndogo, kuwa makini sana barabara hii.
MVUA zinazoendelea kunyesha sehemu kubwa nchini zitaendelea kuwa chanzo cha ajali nyingi iwapo madreva hawatakuwa waangalifu na kuzingatia alama za usalama barabarani.
VIFO VYA AJALI BARABARANI
(a) Uendeshaji wa hatari
(b) Uzembe wa dereva=1573
(c) Uzembe wa waendesha baiskeli=205
(d) Uzembe wa waendesha pikipiki=1142
(e) Uzembe wa abiria=6
(f) Mwendokasi=509
(g) Mifugo=13
(h) Kupita gari bila uangalifu(overtake)=265
(i) Uzembe wa waenda kwa miguu=388
(j) Uzembe wa waendesha mikokoteni=7
(k) Ulevi=93
NB: Serikali ipige marufuku hizi Prado zinaaitwa PRADO MCHAGGA
Tumelichukua tunalifanyia kazi Muheshiwa Rais.Hilo nalo mkalitazame
Nafikili mtoa mada kasoma bachelor of science in safety and ant accident managementView attachment 2842479

NB: Serikali ipige marufuku hizi Prado zinaaitwa PRADO MCHAGA
Hizi sio zile zina baljoint ambazo zinaenda kwa km zikipita tu inachomoka?Sijui zinakatikiaga eneo gani,loh kazi kweli kweli.
Uzi huu kama ndio unayo Prado mchaga halafu watu wanaisagia kunguni unatamani upasuke lkn ndio tayari Mzee wa ball joint kuchomoka unaye. Jirani yangu ilimchomokea mstafu aliiuza akabaki LR 110Umeambiwa inafunguka boliti za ball joints kutokana na kuwa ndogo kuliko mzigo zinaoubeba. Bado unabisha bila kutoa hoja kinzani zenye mashiko. Ndio tuseme una mahaba sana na hizo gari mpaka umekosa objectivity?
Lkn Tarime ni mara mbili ya hizo km ulizosema. Sema alale Nzega au Sherui halafu amalizie day 2. Usitake ushindaniKuna hoja ya gari ndogo, hapo nakupinga. Passo na wenzake kuanzia 1L unasafiri vizuri tu tena trip ya 600km bila tatizo.
Tatizo ni kuendesha magari bila kuyaangalia, hatufanyi services kwa wakati au hatufanyi hadi tupate safari.
Yes, wachagga , kama vile wanavyopenda Toyota Stout au Hilax.Kwann zinaitwa Prado mchagga? Zinanunuliwa na Wachaga sana?
Pia ni mdau wa Usafiri Salama Tanganyika.Nafikili mtoa mada kasoma bachelor of science in safety and ant accident management
View attachment 2842479