Gari hizi usisafiri nazo Mkoani: Usifanye haya, Tanganyika inakuhitaji.

Mwaka huu nimeamua kwenda na tractor John Deere
 
kwa hizo prado ni kweli ....mimi mwenyewe nimeshuhudia 2 zikiwa zimechomoka Tairi la mbele ...hadi nikaziogopa hizo gari...!​
Kunasiku nami nasafir kulikuwa na msafara gari kama nne aisee Ile Prado ilivhomoka tair moja la mbele kitu kizuri haikupinduka na haikuwa barabara yenye gari nying
 
Kwanza zina tabia ya kujipiga mtama
hiyo pia niliwahi kushuhudia kijijini kwetu kina mwamba kwao wanazo nazo...alikuwa na misifa eti anafanya drifting na prado...kilicho mtokea aliomba wahuni wamsaidie kuibinua🤣🤣🤣🤣

akazalilika yeye na demu wake maana ilw gari ili pinduka kiubavu ubavu​
 
Prado mchaga sio kwamba ata ni bol joint inachomoka inakuaga na tabia ya kufunguka bolt zilizofunga bol joint.... uyu mjapani aliweka bolt ndogo sana kwe sehem inayobeba uzito mkubwa wa gari
 


Andiko la hovyo kabisa, yani Prado 2RZ petrol haifai safiria? Shida ni udereva
 
Kuna hoja ya gari ndogo, hapo nakupinga. Passo na wenzake kuanzia 1L unasafiri vizuri tu tena trip ya 600km bila tatizo.

Tatizo ni kuendesha magari bila kuyaangalia, hatufanyi services kwa wakati au hatufanyi hadi tupate safari.
 
Na 3RZ ndiyo za mwisho mwisho TX LIMITED nafikiri.Ila ninachojua unapaswa kukata kona ukiwa kwenye mwendo mdogo vinginevyo inanyanyuka upande mmoja.

Nimesema 2Rz nenda online kaangalia current prado ina engine gani, nenda kaangalia prado yenye 2rz hata kam ni shape ya zaman kama utapata chini ya 25m.

Ma prado ya hovyo ya zamani yana 1kz diesel, yanauzwa hata 8m unapata, usiwe mjuaji kwa vitu ambavyo huvijui kabisa, waendesha mikebe mna shida sana.

Wewe hata gari hujui endesha, gari yeyote kwenye kona, lazima uwe na speed ndogo (form 2 physics) , acha kusikiliza maneno ya vijiweni ya madereva uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…