Gari hizi usisafiri nazo Mkoani: Usifanye haya, Tanganyika inakuhitaji.

Kashata njia ya chalinze ndio rasta zile? Zile unasikia steling inavutwa upande mmoja
Breki ni muhim kucheki master cylinder angalia kama inavuja oil brake? Kubwa na muhim dua
 
Hilo nalo mkalitazame
 
Nafikili mtoa mada kasoma bachelor of science in safety and ant accident management
 
Umeambiwa inafunguka boliti za ball joints kutokana na kuwa ndogo kuliko mzigo zinaoubeba. Bado unabisha bila kutoa hoja kinzani zenye mashiko. Ndio tuseme una mahaba sana na hizo gari mpaka umekosa objectivity?
Uzi huu kama ndio unayo Prado mchaga halafu watu wanaisagia kunguni unatamani upasuke lkn ndio tayari Mzee wa ball joint kuchomoka unaye. Jirani yangu ilimchomokea mstafu aliiuza akabaki LR 110
 
Kuna hoja ya gari ndogo, hapo nakupinga. Passo na wenzake kuanzia 1L unasafiri vizuri tu tena trip ya 600km bila tatizo.

Tatizo ni kuendesha magari bila kuyaangalia, hatufanyi services kwa wakati au hatufanyi hadi tupate safari.
Lkn Tarime ni mara mbili ya hizo km ulizosema. Sema alale Nzega au Sherui halafu amalizie day 2. Usitake ushindani
 
prado mchaga zina defect kidogo ball joint zake ili uwe salama inabidi ubadilishe angalau mara moja kwa mwaka na uwe umefanya alignment ya tairi za mbele hapo utakua salama
 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-12-28-15-58-17-184_com.instagram.android-edit.jpg
    556.1 KB · Views: 2
  • IMG-20241223-WA0017.jpg
    33.4 KB · Views: 1
  • _123614664_boda2.jpg.jpg
    997.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…