Gari ipi itanisaidia kubana matumizi

Gari ipi itanisaidia kubana matumizi

mweee JF kiboko...mkuu dongo hilo limetua mahala pake haswa! mwenzio fedha zangu za mafungu sasa hivi napunguza liability naongeza asset mkuu acha tu niwe na hivyo vigari vya wamama wa nyumbani as long as vitatimiza lengo

nakubaliana nawe.. ishi kwa uwezo wako, mjini hapa watu wengine wanaishi maisha ya kupretend sana.. unakuta ana gari inakula mafuta ya 25000 kwa siku mbaya zaidi unaweza kuta ni ya mkopo... kujikweza kwingine kunaumiza sana
 
dah sijui nianzeje kukupa ushauri hii topic imekuja patamu sana,mimi ni mechanics so ngoja nianze.

dunia nzima wenye magari wanaamini honda ndo zinatumia mafuta kidogo from honda fit to inspire and so on. kuna wachanigiaji wamekushauri ununue cami au daihatsu hii substitute yake ni honda fit. ukinunua hicho utahisi mafuta kanatumia kidogo. lakini asikudanganye mtu kwa situation ya dar ata ununue gari gani mafuta consumption itakuwa juu tuu.nunua gari kulingana na mahitaji yako usiangalie mafuta.

angalizo always cheap is expensive. hivi vigari vyenye fuel consumption kidogo vipo expensive sana kuanzia uagizaji hadi spare,huamini kaulize spare za cami au daihatsu au honda fit bei utakayoambiwa inazidi ata spare ya prado new model
 
Ndio nilichokuwa najaribu kumuhabarisha ndugu hapa. Ukinunua gari ya mafuta kidogo. Utakuta spea zake bei mbaya au hazipatikani. Ukinunua gari ya bei rahisi unaweza kukuta uimara wake ni finyu na matokeo yake kila siku gari liko kwa fundi. Mfano gari za Toyota sio sawa na Honda au Nissan. Nissan ikipata matunzo mazuri au honda kwa fundi wa magari ni mwiko unaweza kumsahau. Toyota ijapokuwa bei yake ni ndogo lakini hauchelewi kuwa unaweka mahudhurio mazuri kwa fundi.

Gari yeyote ina faida na hasara zake hata kama ikiwa ni gari ya umeme (isiyotumia mafuta kabisa lakini utakuta speed mwisho km 50 kwa saa au less na spea zake usiulize bei yake). La muhimu ni mpangilio mzuri tu wa maisha na kama huwezi kuafford achana na gari tafuta usafiri mwengineo au tumia usafiri wa jamii kama mabasi au baiskeli au bajaj.
 
Tuliambiwa hapa kwamba kuna jamaa huko Songea anatengeneza magari, kwa hayafai kwa kuendea Mkuranga? Au yeye anatengeneza dizaini kama Bugatti na Lamborghini?
 
SUZUKI Carry
Status:Available
Ref. No:MM314008
Year :1999
Mileage :109000
Engine Type:F6A
CC:657
Transmission Type:Manual
Location:Tanzania
Asking Price:TZS 7,000,000
Includes all taxes

[TD="width: 28%"] [/TD]

[TD="colspan: 3"]
» AM/FM Radio
» Power steering
Additional Features:Financial Features:
» Price is negotiable
» Registration included

[TD="width: 50%"] Interior features: [/TD]
[TD="width: 50%"] Car Body Features: [/TD]
[/TD]
 
dah sijui nianzeje kukupa ushauri hii topic imekuja patamu sana,mimi ni mechanics so ngoja nianze.

dunia nzima wenye magari wanaamini honda ndo zinatumia mafuta kidogo from honda fit to inspire and so on. kuna wachanigiaji wamekushauri ununue cami au daihatsu hii substitute yake ni honda fit. ukinunua hicho utahisi mafuta kanatumia kidogo. lakini asikudanganye mtu kwa situation ya dar ata ununue gari gani mafuta consumption itakuwa juu tuu.nunua gari kulingana na mahitaji yako usiangalie mafuta.

angalizo always cheap is expensive. hivi vigari vyenye fuel consumption kidogo vipo expensive sana kuanzia uagizaji hadi spare,huamini kaulize spare za cami au daihatsu au honda fit bei utakayoambiwa inazidi ata spare ya prado new model

mkuu shukrani sana info hii itatusaidia wengi humu,.
 
Nunua Hijet Daihatsu. CC 650 kama ya kwangu na inatumia lita 1 kwa kilometre 18 na ni 4WD nakwambia utaifurahia maisha ya usafiri.
 
SUZUKI Carry
Status:Available
Ref. No:MM314008
Year :1999
Mileage :109000
Engine Type:F6A
CC:657
Transmission Type:Manual
Location:Tanzania
Asking Price:TZS 7,000,000
Includes all taxes

[TD="width: 28%"] [/TD]

[TD="colspan: 3"]
» AM/FM Radio
» Power steering
Additional Features:Financial Features:
» Price is negotiable
» Registration included

[TD="width: 50%"] Interior features: [/TD]
[TD="width: 50%"] Car Body Features: [/TD]
[/TD]

Hata hapa ni kwako kunafaa kbs.
 
QUOTE=Preta;2624487]hii ndio rahisi? ina cc ngapi?[/QUOTE] BESTI,,,,,,,,,,,, WENGINE WANASOMA ALAMA ZA NYAKATI.
 
Naomba kujuwa bei ya suzuki kei?????? Ni vizuri wachangiaje watoa na price za hayo magari yenye cc ndogo
 
Naomba kujuwa bei ya suzuki kei?????? Ni vizuri wachangiaje watoa na price za hayo magari yenye cc ndogo

bei zipo knye mtandao husika kila gari na bei yake kama unaacess ya net ingia knye hayo makampuni yanayouza magari utaona bei ukitaka mambo ya kodi ingia knye mtandao wa TRA kila kitu kipo gwazi, usinichoshe wala nisikuchishe
 
Pajer JR au io ,iko juu na ina cc ndogo zitakazo kufaa.ukizingatia una mashamba sometimes inabidi upitie kwa jirani etc utahitaji gari ya juu kidogo
 
Mi nishasahaugi siku nyingi kuangalia gari based on fuel consumtion! Mi naona yote sawa tu. Bora ufike unapotaka
Magamba ndio zenu kufuja mali za wa Tz, kuna siku mtaona hata bajaji inakutia hasara!
 
Mimi nilishajilipua kitambo na Daihtsu wese inanusa na spare sio gharama sana!
 
Cuf.jpg
Fuel Consumption Zero Majani tu na Ufagio wa kuzolea hanyari Punda akiachia au unamshoneshea mfuko kwenye masaburi asichafue mazingira.. Bei ni Poa unahitaji kama million moja tu
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD] Donkey Carry
[/TD]
[TD="width: 28%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Status:[/TD]
[TD]Available
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ref. No:[/TD]
[TD]MM2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD]Year :[/TD]
[TD]2005
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mileage :[/TD]
[TD]19000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Engine Type:[/TD]
[TD]Punda Force IIA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CC:[/TD]
[TD]500
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Transmission Type:[/TD]
[TD]Manual
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Location:[/TD]
[TD]Tanzania
[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD]Asking Price:[/TD]
[TD]TZS 1,000,000
Includes all taxes Ministry of Maliasili na Utalii
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"][TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="width: 50%"]Interior features:[/TD]
[TD="width: 50%"]Carry Body Features:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]» AM/FM Miluzi
[/TD]
[TD]» Hand Power string
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Additional Features:
[/TD]
[TD]Financial Features:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]» Price is negotiable
» Registration included
Dereva Wanapatikana
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Attachments

  • moz-screenshot-5.PNG
    moz-screenshot-5.PNG
    58.5 KB · Views: 200
Back
Top Bottom