samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,602
- 4,811
mweee JF kiboko...mkuu dongo hilo limetua mahala pake haswa! mwenzio fedha zangu za mafungu sasa hivi napunguza liability naongeza asset mkuu acha tu niwe na hivyo vigari vya wamama wa nyumbani as long as vitatimiza lengo
nakubaliana nawe.. ishi kwa uwezo wako, mjini hapa watu wengine wanaishi maisha ya kupretend sana.. unakuta ana gari inakula mafuta ya 25000 kwa siku mbaya zaidi unaweza kuta ni ya mkopo... kujikweza kwingine kunaumiza sana
