Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Brevis ya cc 2000 haipo,haijawahi kutengenezwa na haitakuwepo kamwe.

Engine zilizoko kwny brevis ni hizi tu(2.5L 1JZ-GE,2.5L 1JZ-FSE ,3.0L 2JZ-GE na 3.0L 2JZ-FSE ).

Haya hebu tuwekee aina ya engine yako tuone ni ipi.
Mkuu hivi engine ya Verosa ikoje?
-six cylinder au four cylinder
-inakula wastani wa km ngapi kwa lita
-msaada plz

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Brevis mchanganyo wake ni hatari, raha ipo kwenye 6 cylinder bana asikwambie mtu kitu. Chuma ikiwa silencer tu ni burudani...

Au 1G-FE uikute imepigwa straight pipe kama kwenye gx80 utaipenda.
 
Wanasema rough road inatembea kwa 1l/4km ina ukweli!!?
Ukiona gari imefikia hapo ujue oxygen sensor,fuel filter au plug zina shida. Lazma ukague mfumo wa uchomaji ukirudishia vipuri vipya inarudi kama ilivyotoka kiwandani. Itakupa 8-10km/l ukiwa town trip na highway inaenda 11km/l au zaidi.
 
Waoga wa kwenda Sheli hao! 🤣🤣🤣
 
Kwa matumizi ya daily mjini na foleni labda ndo wengi wanalalamika mafuta ila kama ulivosema ni gari moja unaenjoy kuendesha ...kwa safariiii unaenjoy zaidi
Brevis gari ya safari, inakupasa uwe na baby walker moja na mnyama. Ukiwa mjini endesha kigoda tu kama Swift au Vits ili kuepusha lawama.
 
Hio gari naona inanunuliwa kwa kasi sana siku za hivi karibuni ila huwa sina interest na Nissan. Siwezi izungumzia kwa chochote Simara

Yes inanunuliwa sana, nilitamani nimpate mtu anaeijua maana huku mtaani vitisho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…