JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Shuhuda wa tukio hilo lililotokea katika Mto Ngono, Datsun Zacharia amesema: “Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa
"Chanzo ni kuwa mwendesha Kivuko alimwambia dereva wa gari arudishe nyuma kidogo ili Kivuko kikae sawa, alipofanya hivyo gari likateleza na kuingia kwenye maji, gari halikuwa na miziko, dereva aliokolewa na hakuna aliyejeruhiwa."
Chanzo: Millard Ayo