Gari la mizigo aina ya Fuso limetumbukia kwenye maji wakati lililopokuwa limebebwa katika Kivuko cha Kyanyabasa kilichopo Wilaya ya Bukoba Vijijini Mkoani Kagera.
Shuhuda wa tukio hilo lililotokea katika Mto Ngono, Datsun Zacharia amesema: “Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa
"Chanzo ni kuwa mwendesha Kivuko alimwambia dereva wa gari arudishe nyuma kidogo ili Kivuko kikae sawa, alipofanya hivyo gari likateleza na kuingia kwenye maji, gari halikuwa na miziko, dereva aliokolewa na hakuna aliyejeruhiwa."
Gari la miziko aina ya Fuso limetumbukia kwenye maji wakati lililopokuwa limebebwa katika Kivuko cha Kyanyabasa kilichopo Wila ya Bukoba Vijijini Mkoani Kagera kilichopo katika Mto Ngono.