Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,957
- 6,221
Hii nayo ni sababu kubwa mkuu... Naunga mkono.Inaweza kuwa engine mountain (sijui nimepatia ndivyo inaitwa).
Gari lakl ni passo 3 pistons?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nayo ni sababu kubwa mkuu... Naunga mkono.Inaweza kuwa engine mountain (sijui nimepatia ndivyo inaitwa).
Gari lakl ni passo 3 pistons?
For sure hata mie nlikuwa na tatizo kama hilo kwenye hiace yangu.kuna mounting za chini ya engine na pia kuna mounting nyingine inashika kitu flan hapo kwenye engine ( sorry mesahau jina) kwa hyo nayo inabd uichekMara nyingi gari kutetemeka huwa engine mounting zimekatika engine mounting ni viraba flani vidogo ambavyo hufunga engine kwenye sehemu ya gari, ingekuwa vyema ukasema gari lako ni la aina gani na kama linatumia petrol au dizel kwa msaada zaidi.
Mkuu mimi nilipata tatizo kama hilo, na lilinisumbua sana na pia nilipoteza sana hela. Gari yangu ni sienta. mwisho nilibadilisha hizo spark plugs na nozzle baada ya muda tatizo likawa limekwisha kimya kimya hadi leo.Habari wanajamii. Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio. Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu
Mambo matatu hadi manne yanatakiwa kuangaliwa kwenye hiyo gariHabari wanajamii. Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio. Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu
silencer kuwa juu ni ulitakiwa utoe betri gari ikiwa on sio start ili rpm zisipandeaisee..mbona hukuleta mrejesho?..mi gari ilikuwa ikizima nikaambiwa nianze na kubadilisha plugs, nimebadilisha, kuwasha check engine light imewaka, wakatoa betri kama lisaa limoja, ikazima ila sasa silencer ipo juu naambiwa nikafanya diagnostics, ebu nipe ushauri, nimechoka
kwa lugha yetu bobina.vile vitu vinashika plugs vinaweza kuwa vimekufa kama plugs ni nzima jaribu kucheki hizo vituMi langu limeleta taab u hiyo Mara baada ya fundi lupunguza sailensa ya injini. Nikiwasha na nikipaki kabla ya luizima inatetemeka sana, ila ukopngeza moto kiasi hutulia. Labda jaribu kuajasti ekseleta umaweza on a matokeo.
aisee..mbona hukuleta mrejesho?..mi gari ilikuwa ikizima nikaambiwa nianze na kubadilisha plugs, nimebadilisha, kuwasha check engine light imewaka, wakatoa betri kama lisaa limoja, ikazima ila sasa silencer ipo juu naambiwa nikafanya diagnostics, ebu nipe ushauri, nimechoka
Tatizo la bei zao hao jamaa wenye mashine. Halafu kwa hapa Dar garage gani unaweza peleka wakaicheki kwa computer?Mkuu mie sio fundi lkn nilipata hilo la kutetemeka kwa gari few weeks ago...Nilidhani ni Engine Mounting maana pia huwa inasababisha mtetemo wa gari ikiwa imeisha au nuts kulegea...lakini nilipopeleka kwa mafundi sema ndo hivyo tena niko nchi za watu, wakaweka kwa computer na kukuta kitu kwenye engine so wakakitoa na sasa mambo yako fresh, Je, ukiendesha usukani huwa hutetemeki, kama unatetemeka jaribu kufungua tairi na kusafisha maybe kuna matope yameingia kwa rims...Au peleka kwa mafundi wenye computer waconnect then kila tatizo litaonekana na kuwa solved mkuu...
hamana mkuu sio kweli tatizo ni kwenye throta au ignition coil ndio kuna tatizo kama tatizo bd lipo anicheki pmMara nyingi gari kutetemeka huwa engine mounting zimekatika engine mounting ni viraba flani vidogo ambavyo hufunga engine kwenye sehemu ya gari, ingekuwa vyema ukasema gari lako ni la aina gani na kama linatumia petrol au dizel kwa msaada zaidi.