Gari kutetemeka

Gari kutetemeka

crankshaft damper pia za kuangalia kwani uwa znafnya kazi ya kupunguza mitetemo ya engine ivyo kama ztakua na itilafu moja ya dalili yake ni engine kuteteka na pia angalia spark plugs znafnya kz ipasavyo
 
Mara nyingi gari kutetemeka huwa engine mounting zimekatika engine mounting ni viraba flani vidogo ambavyo hufunga engine kwenye sehemu ya gari, ingekuwa vyema ukasema gari lako ni la aina gani na kama linatumia petrol au dizel kwa msaada zaidi.
For sure hata mie nlikuwa na tatizo kama hilo kwenye hiace yangu.kuna mounting za chini ya engine na pia kuna mounting nyingine inashika kitu flan hapo kwenye engine ( sorry mesahau jina) kwa hyo nayo inabd uichek
 
Habari wanajamii. Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio. Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu
Mkuu mimi nilipata tatizo kama hilo, na lilinisumbua sana na pia nilipoteza sana hela. Gari yangu ni sienta. mwisho nilibadilisha hizo spark plugs na nozzle baada ya muda tatizo likawa limekwisha kimya kimya hadi leo.
 
Habari wanajamii. Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio. Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu
Mambo matatu hadi manne yanatakiwa kuangaliwa kwenye hiyo gari

1. engine and gear box mountings. Hizi hata kama hazijakatika lakini huwa zinaisha uwezo wa kuzuia vibration, kwa hiyo inabidi kuangaliwa

2. Fuel pump. Unapoendesha gari kwa sababu ya aceralation pump inapokea maximum voltage hivyo hata kama ina tatizo huwezi kujua, lakini ukisimama inatokea voltage drop na kama pump ni mbovu ndio inashindwa kusukuma mafuta kwa pressure nzuri, na hapo ndio vibration inatokea

3. Nozzles. Direct injections engines zinatumia electrical powered nozzles ambazo zikiwa na tatizo la umeme au kuziba zinaleta tatizo hilo wakati ambao mafuta yanakuja na pressure ndogo probably wakati gari haitembei

4. Battery. Inawezekana tatizo linasabishwa na battery kama imeshuka uwezo wa kutunza umeme (low current) au kama unatumia battery ndogo kuliko inayotakiwa kuwepo kwenye engine hiyo

Namna ya kubaini, wakati umesimama kanyaga mafuta uone kama vibration inaondoka. Ikiondoka tumia fundi mzuri chunguzeni nayo mambo manne hapo utapata jibu
 
aisee..mbona hukuleta mrejesho?..mi gari ilikuwa ikizima nikaambiwa nianze na kubadilisha plugs, nimebadilisha, kuwasha check engine light imewaka, wakatoa betri kama lisaa limoja, ikazima ila sasa silencer ipo juu naambiwa nikafanya diagnostics, ebu nipe ushauri, nimechoka
silencer kuwa juu ni ulitakiwa utoe betri gari ikiwa on sio start ili rpm zisipande
 
Mi langu limeleta taab u hiyo Mara baada ya fundi lupunguza sailensa ya injini. Nikiwasha na nikipaki kabla ya luizima inatetemeka sana, ila ukopngeza moto kiasi hutulia. Labda jaribu kuajasti ekseleta umaweza on a matokeo.
kwa lugha yetu bobina.vile vitu vinashika plugs vinaweza kuwa vimekufa kama plugs ni nzima jaribu kucheki hizo vitu
aisee..mbona hukuleta mrejesho?..mi gari ilikuwa ikizima nikaambiwa nianze na kubadilisha plugs, nimebadilisha, kuwasha check engine light imewaka, wakatoa betri kama lisaa limoja, ikazima ila sasa silencer ipo juu naambiwa nikafanya diagnostics, ebu nipe ushauri, nimechoka
 
Mkuu mie sio fundi lkn nilipata hilo la kutetemeka kwa gari few weeks ago...Nilidhani ni Engine Mounting maana pia huwa inasababisha mtetemo wa gari ikiwa imeisha au nuts kulegea...lakini nilipopeleka kwa mafundi sema ndo hivyo tena niko nchi za watu, wakaweka kwa computer na kukuta kitu kwenye engine so wakakitoa na sasa mambo yako fresh, Je, ukiendesha usukani huwa hutetemeki, kama unatetemeka jaribu kufungua tairi na kusafisha maybe kuna matope yameingia kwa rims...Au peleka kwa mafundi wenye computer waconnect then kila tatizo litaonekana na kuwa solved mkuu...
Tatizo la bei zao hao jamaa wenye mashine. Halafu kwa hapa Dar garage gani unaweza peleka wakaicheki kwa computer?
 
Mara nyingi gari kutetemeka huwa engine mounting zimekatika engine mounting ni viraba flani vidogo ambavyo hufunga engine kwenye sehemu ya gari, ingekuwa vyema ukasema gari lako ni la aina gani na kama linatumia petrol au dizel kwa msaada zaidi.
hamana mkuu sio kweli tatizo ni kwenye throta au ignition coil ndio kuna tatizo kama tatizo bd lipo anicheki pm
 
Back
Top Bottom