Gari kuzima relini

Gari kuzima relini

Treni ina smaku kubwa kwenye injini mbele kabisa ambayo inaathiri mfumo wa ufanyaji kazi wa injini ya gari hasa treni ikiwq umbali wa mita mia karibia na gari basi hapo injini ya gari yako ikizima haiwaki mpaka treni ipite.Hii ni kwa ufupi ngoja nipekue Kitabu changu cha injini za treni nitakuja na thread kwa kirefu.Staytunned.
 
Back
Top Bottom