Gari la Diamond Lamchefua Wema

hapa ndipo anaponichosha kuliko ujauzito unavyoweza kunichosha, kuna siku nilimskia eti anasema ''kigodoro cha jana kilikuwa kitamu, yani sidhani kama nitakaa nikose kwenye kigodoro''

Uwiiiiii Paula jamani acha uongo!
 
Yule bibi ana sauti nne!!kama kwaya ya ulyankuru,ukimkuta anavojibebisha kama jini mahaba utashangaa!!kuna ile ya kuongea na wanawake(ya pili),kuna ya tatu akilewa,kuna ya nne akiwa anawafanyia ukatili vijakazi!!Ni drama queen kabisaaa!!

hahahahahahaaa, sasa mimi inayonichefuaga na kama ujuavyo limao za siku hizi zimeanza kutoka fake baada ya soko lake kuongezeka kwa speed hivyo hazitulizi hichi ki hefuchefu, ni ile sauti ya kujibabisha kama jini mahaba.ptuyuuuuuuuuu!!!
 
Uwiiiiii Paula jamani acha uongo!

naanzaje kumsingizia, tena kwenye my viatu msimu uliopita, akiwa na yule shangazi yake, na ile siku alimlazimisha martin waende kwenye kigodoro sa 7 usiku?? hukuona??? alisema hawezi kosa kitu kitamu vile
 
huyu kuchambwa ni halali yake amezidisha maisha ya location
 
naanzaje kumsingizia, tena kwenye my viatu msimu uliopita, akiwa na yule shangazi yake, na ile siku alimlazimisha martin waende kwenye kigodoro sa 7 usiku?? hukuona??? alisema hawezi kosa kitu kitamu vile

Ile in my shoes ya kwanza sikuweza kuifuatilia vizuri...
Hata hivyo yule ni mama vigodoro tu.
 
Yule bibi ana sauti nne!!kama kwaya ya ulyankuru,ukimkuta anavojibebisha kama jini mahaba utashangaa!!kuna ile ya kuongea na wanawake(ya pili),kuna ya tatu akilewa,kuna ya nne akiwa anawafanyia ukatili vijakazi!!Ni drama queen kabisaaa!!

Mm binafsi huwa ananiboa sana, hajui tu! Kwann asiwe real? ??
 
Ile in my shoes ya kwanza sikuweza kuifuatilia vizuri...
Hata hivyo yule ni mama vigodoro tu.

Its Never too late for her to go back to School study some Short course in Management And manage her stuff Professionale what she is doing now Ana Fans ambao wanammsilead And the Reality Show makes Things worse Cause she is exposing so much stuff about Herself that is not good,she need good Mentors And life Coach at the Moment she has none!!
 
Hatuna bibie,hata kama ipo tunaificha,yeye si anaianika?acha tumseme

Kwa hiyo kwa Wema hakuna lingine zaidi ya michirizi? Hizo picha tangu zimevuja sijui mwaka gani mpaka leo bado mmeishikia bango!!!

Kuna picha ya Michelle yule mwanamuziki iliwekwa kavaa nguo ndefu yenye mpasuo mkubwa mpaka kiunoni ila kwa ndani kuna ki lining transparent na michirizi ya kutosha tu inaonekana mbona wengi hawakumnanga au kwakuwa Wema ni mbongo movie?

BTW, sema wewe huna usiinclude na wengine coz naamini hata hao wamama na wadada tunaokutana nao kitaa wameachia michirizi ionekane hata humu wamo na michirizi yao!
 
She has Never Been private about her Body or private life she Keeps it in Open And People use her flaws against her
 
Nasikia ndimu zimepanda bei balaa!!!
..eti nifah huko kwenu sh. ngap??
 
Attachments

  • 1419083110270.jpg
    23.2 KB · Views: 329
Last edited by a moderator:
Ni kweli aliwahi kusema hayo maneno, afta kuhudhuria kweny kigodoro flani hiv kilipewaga airtime na medias ile mbaya

Kile kigodoro cha zamaradi kilichofanyika dar live?
Kama ndio hicho nakikumbuka
 
Michirizii ni Kitu Cha kawaida lakini ukiwa Public figure kama yeye throwinn ur stuff like that makes sure its hot And noone will do Body shamin
 
Mwenzio anaona sifa kuanika maisha yake hadharani!Mimi hua naona aibu japo sio mimi.
 
She has Never Been private about her Body or private life she Keeps it in Open And People use her flaws against her

Michirizii ni Kitu Cha kawaida lakini ukiwa Public figure kama yeye throwinn ur stuff like that makes sure its hot And noone will do Body shamin

Binadamu nyie ndo mnapenda kuyakuza angekuwa ameweka zingine tena hapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…