Gari la Diamond Lamchefua Wema

Gari la Diamond Lamchefua Wema

na hiyo murrano na bmw kahongwa na lile zee la TRA ambalo linataka kumfungulia duka la vipodozi na mini supermarket

hela za wadanganyika hizo zinachezewa
 
Umejuaje?au umekuwa nabii Buberwa?
 
Kuna watu mabingwa sana wa kutunga hadithi.......huu ni uongo 100%
 
mtoa uzi yuko sahihi, alinunua na kumpigia simu diamond akiwa nje atume posts on social media ili ionekane kamnunulia manake kipindi hicho watu walikuwa wanaseme jamaa anamtumia hamsaidii lolote huo ndio ukweli and by the way diamond ndiye alikuwa anakula hela za wema haswa kununuliwa viatu na nguo
wewe ni muongo, acha uzushi
 
nasikitika kwamba kuna watu wanakataa kuamini?hivi mkiambiwa kwamba domo huwa anatembea na starlet full tinted kusave mafuta mtaamini?mkimbiwa kwamba ommy dimpoz huwa analalamika mark x inakula sana mafuta mtaamini?
nampongeza sana domo kwa kula hela za wema na kuexploit ujinga wake mpaka leo kuna watu wanaamini alinunua Murrano
mungu wangu na atakula sana hela za zari..safiiiiiiiii
 
kwani unalipwa? mbona unatumia nguvu nyingi mkuu......fanya yako labda kama ww ni chibu mwenyewe.
 
pumbavu basi fanya nadanganya..shove it in your ass, endelea kumtetea huyo malaya mtoa tigo
 
kwani unalipwa? mbona unatumia nguvu nyingi mkuu......fanya yako labda kama ww ni chibu mwenyewe.

chibu mwenyewe ningesema ni mbahil? anatembelea starlet tinted kusevu mafuta?
 
nasikitika kwamba kuna watu wanakataa kuamini?hivi mkiambiwa kwamba domo huwa anatembea na starlet full tinted kusave mafuta mtaamini?mkimbiwa kwamba ommy dimpoz huwa analalamika mark x inakula sana mafuta mtaamini?
nampongeza sana domo kwa kula hela za wema na kuexploit ujinga wake mpaka leo kuna watu wanaamini alinunua Murrano
mungu wangu na atakula sana hela za zari..safiiiiiiiii
yo harsh, am not expectin tusi... eti hivi zile hela za show huaga anazipeleka wapi?
 
ushaambiwa ni mbahili jamani au huelewi?ana deal na mama yake tu? hahongi wanawake....na pia hela zake nyingi anakula Ruge, babu tale, said felal lasivyo angekuwaga na hela nyingi sana,mfano mzuri ni tangazo la voda lilikuwana hela nyingi karibu m 100 hakupata zaidi ya25 milions
 
hahahahaha daaaah kwaio jamaa anavotoa picha na kusema for ma baby ye aliambiwa inatoka wapi?
 
Back
Top Bottom