Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hiyo murrano na bmw kahongwa na lile zee la TRA ambalo linataka kumfungulia duka la vipodozi na mini supermarket
hela za wadanganyika hizo zinachezewa
elewa hivyohivyo ,huo ndio ukweli, we endelea kulipa kodi ila kuna wajanja wanaitumia kununulia papuchi zinazoandikwa sana kwenye magazetiUmejuaje?au umekuwa nabii Buberwa?
Hela ya kununulia Murano Wema kaitoa wapi?
kwa zee la TRA,lilimpa na bmw pia plus duka la vipodozi na mini supermarket coming soonSwali zuri
She Needs help kwakweli lakini Acha imumee kama mwenziye Penny alivyotaabika na kudharauliwa
wewe ni muongo, acha uzushimtoa uzi yuko sahihi, alinunua na kumpigia simu diamond akiwa nje atume posts on social media ili ionekane kamnunulia manake kipindi hicho watu walikuwa wanaseme jamaa anamtumia hamsaidii lolote huo ndio ukweli and by the way diamond ndiye alikuwa anakula hela za wema haswa kununuliwa viatu na nguo
naomba niamini katika hili, unajua kwamba diamond anatumia starlet ambayoiko full tinted kwenye mizunguko ya kawaida iliku save mafuta?wewe ni muongo, acha uzushi
nasikitika kwamba kuna watu wanakataa kuamini?hivi mkiambiwa kwamba domo huwa anatembea na starlet full tinted kusave mafuta mtaamini?mkimbiwa kwamba ommy dimpoz huwa analalamika mark x inakula sana mafuta mtaamini?
nampongeza sana domo kwa kula hela za wema na kuexploit ujinga wake mpaka leo kuna watu wanaamini alinunua Murrano
mungu wangu na atakula sana hela za zari..safiiiiiiiii
kwani unalipwa? mbona unatumia nguvu nyingi mkuu......fanya yako labda kama ww ni chibu mwenyewe.
kwani unalipwa? mbona unatumia nguvu nyingi mkuu......fanya yako labda kama ww ni chibu mwenyewe.
yo harsh, am not expectin tusi... eti hivi zile hela za show huaga anazipeleka wapi?nasikitika kwamba kuna watu wanakataa kuamini?hivi mkiambiwa kwamba domo huwa anatembea na starlet full tinted kusave mafuta mtaamini?mkimbiwa kwamba ommy dimpoz huwa analalamika mark x inakula sana mafuta mtaamini?
nampongeza sana domo kwa kula hela za wema na kuexploit ujinga wake mpaka leo kuna watu wanaamini alinunua Murrano
mungu wangu na atakula sana hela za zari..safiiiiiiiii
ushaambiwa ni mbahili jamani au huelewi?ana deal na mama yake tu? hahongi wanawake....na pia hela zake nyingi anakula Ruge, babu tale, said felal lasivyo angekuwaga na hela nyingi sana,mfano mzuri ni tangazo la voda lilikuwana hela nyingi karibu m 100 hakupata zaidi ya25 milionsyo harsh, am not expectin tusi... eti hivi zile hela za show huaga anazipeleka wapi?
Kweli Kazi ya upaparazi ngumu, kasikia Wema anaongea akadakia yeye kumuuliza sasa huyu paparazi alikua ndani au nje ya nyumba?