Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani


Another popoma on way
 
Laki na ushee $ Bado anaonekana hana kitu?. Isee kuna wengine hata gurudumu la guta hawaja wahi kulimiliki. Wivu ni Jambo bovu.
 
Reactions: Qwy
Na wewe umeshikwa akili na Mange ? Usiniangushe bwanaa weee.. hiyo tyre sio kipala washamba tu, tyre hizi zipo hivyo ila kwa mtu mgeni wa aina za tyre atasema kipara.. hiyo tyre mpya..
C'moon Romeo 🤣🤣🤣

Me nimetania tu jamani.
 

@T14 Armata wew jamaa umefanya nmecheka sana[emoji23][emoji23]
 
Jamaa kapambania sana ndoto zake, acha ale matunda yake.. kama alianza iota toka 2015 na haku loose focus, amejitahidi sana..
Hii kauli ya kusema mtu amejitahidi ni hopeless kbs! Sio amejitahidi ameweza, amepambana hadi kapata sio suala la kujitahidi ni ameweza / amefanya kweli na amefanikiwa
 
Wee Vitz yako ipo wapi 🤷🏼‍♀️bored!
 
Jamaa ni hustlers na ana uthubutu, hata kama ni used amejitahid anahishi kwenye ndoto zake
 
Hii kauli ya kusema mtu amejitahidi ni hopeless kbs! Sio amejitahidi ameweza, amepambana hadi kapata sio suala la kujitahidi ni ameweza / amefanya kweli na amefanikiwa
Upo sawa pia. Ameweza katika imani yake na alichokuwa anapambania.. sipingi kauli yako hata upo sahihi kabisa boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…