Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Hiyo gari uliyoipost ndio kanunua au umekurupuka. Tafuta hela kijana acha wivu wa kichawi umri wako Bado Mdogo
 
Sasa anamtangazia nani bei za magari yake?,inamsaidia nini mtanzania.mtu aliyetoka kwenye umaskini akapata pesa utamjua tu.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
BEI RAHISI million 300
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Samahani mtoa post nnashida na elfu 30 naomba nsaidie
 

Wewe ni mjinga sana aya 108850*2320=

Af tafuta kodi apo ya iyo gar uone ka haifik 600m 700m acha kuponda ujinga kwa iyo 600m ni ndogo acheni umaku...[emoji28][emoji28]
 

Dogo punda Wa bei ya juu, wakimvizia wanamkamata yeye na crew yake

na hivi JPM amefariki ameanza kubeba tena drugs kwa kutumia dancers na cameraman
 
Dogo punda Wa bei ya juu, wakimvizia wanamkamata yeye na crew yake

na hivi JPM amefariki ameanza kubeba tena drugs kwa kutumia dancers na cameraman
Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…