Buti la mkoloni
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 312
- 850
Crown ya mwaka 2020 zero kilometer bei yake utaigusa?!! tatizo la kununua gari za mitumba zilitengenezwa miaka 10, 15, 20 iliyopita inafanya msijue thamani halisi ya magari..ni kheri ungesema nunua brevis or crown mtumba ya mwaka flani utembelee ungeeleweka. Magari ya mtumba tunayonunua yamefifisha uwezo wa ubongo wetu kufikiri na kuamini Kuwa kila Crown inauzwa mil 16😂😂😂Mbona mnahangaika na mambo yaliyokuzidi umri, ww nunua Brevis au Crown tembelea, vidole havifanani
Hizo zote siyo Rav 4Mkuu ngoja nikupe mfano mzuri uelewe
Toyota Rav 4 ziko za aina tofauti
1. Old Model
2. Miss Tanzania
3. Kill Time
4. Vanguard
Hzo zote hapo ni Rav 4 by nature ila bei zake ziko tofauti kabisa kutokana na Millage na mwaka uliiotengenezwa
Sasa hapo umeweka RR Ghost badala ya Culinan ambayo ni latest ya 2021 ulishindwa hata ku reason kawaida tu
Fine tyre zake mnasema gar ni used embu take trouble kutafuta bei ya used Culinan ni kiasi gani then urud tena
Tunaweza kwel kumchukia tu Diamond kwa sababu ya umasikini wetu ila atlist lets respect his husttle Man.
Peace n Out!!
Sawa ni Subaru hzoHizo zote siyo Rav 4
Hakuna Rav 4 (old model,kilitime,miss Tanzania wala vanguard) wewe ni muongo wa mwisho!!...Yani unashindwa kusema models za Rav 4 unaleta ubishi tu!!..unaleta story zako za Facebook hapa!!..Sawa ni Subaru hzo
Ni Sawa na mtu anakwambia nataka rav 4 (old model, kilitime, miss Tanzania na Vanguard) hizi mambo zinapatikana Tanzania tu!!!Crown ya mwaka 2020 zero kilometer bei yake utaigusa?!! tatizo la kununua gari za mitumba zilitengenezwa miaka 10, 15, 20 iliyopita inafanya msijue thamani halisi ya magari..ni kheri ungesema nunua brevis or crown mtumba ya mwaka flani utembelee ungeeleweka. Magari ya mtumba tunayonunua yamefifisha uwezo wa ubongo wetu kufikiri na kuamini Kuwa kila Crown inauzwa mil 16😂😂😂
Bongo ni shida tunapenda sana kukaliliNi Sawa na mtu anakwambia nataka rav 4 (old model, kilitime, miss Tanzania na Vanguard) hizi mambo zinapatikana Tanzania tu!!!
Sasa kwan umeona hapa ni facebook embu ntolee upuuzi wako na ujuaji usiokuwa na kichwa wala miguuHakuna Rav 4 (old model,kilitime,miss Tanzania wala vanguard) wewe ni muongo wa mwisho!!...Yani unashindwa kusema models za Rav 4 unaleta ubishi tu!!..unaleta story zako za Facebook hapa!!..
Kumbe unaelewa hzi mambo ziko Tanzania sasa wewe hapo unacoment ukiwa wapi?Ni Sawa na mtu anakwambia nataka rav 4 (old model, kilitime, miss Tanzania na Vanguard) hizi mambo zinapatikana Tanzania tu!!!
Ni Tanzania pekee mtu mwenye ufahamu kukuzidi unaweza kumtukana kwasababu hata sheria zetu tukifwata tunaonekana tunawaonea wale wasiokua nachoKumbe unaelewa hzi mambo ziko Tanzania sasa wewe hapo unacoment ukiwa wapi?
Embu tusaidie bas majina yake hzo aina za Rav 4
Hiyo ni Ghost ile ni CulimanDiamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?
Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.
nenda kaangalie bei yake uje utupe mrejesho?Hiyo ni Ghost ile ni Culiman
Ingawa upo sahihi, kuwa bei sio zile wanazoropoka
Bei ipo chini tu
Hivi Diamond ni tajiri kwa viwango vya Tanzania..nashangaaMaskini hawajawahi kumpenda tajiri
YapHivi Diamond ni tajiri kwa viwango vya Tanzania..nashangaa
Milioni 300 bei rahisiDiamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?
Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.
WivuuuuuGari ya 0 km inakuwaga na tairi chakavu? Umeona tairi za ile gari?
Lakn yake si ya 2021 na n zero km Bei haziwez fanana mkuu hata ist zero km Bei n tofaut na hizi