Buti la mkoloni
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 312
- 850
Crown ya mwaka 2020 zero kilometer bei yake utaigusa?!! tatizo la kununua gari za mitumba zilitengenezwa miaka 10, 15, 20 iliyopita inafanya msijue thamani halisi ya magari..ni kheri ungesema nunua brevis or crown mtumba ya mwaka flani utembelee ungeeleweka. Magari ya mtumba tunayonunua yamefifisha uwezo wa ubongo wetu kufikiri na kuamini Kuwa kila Crown inauzwa mil 16😂😂😂Mbona mnahangaika na mambo yaliyokuzidi umri, ww nunua Brevis au Crown tembelea, vidole havifanani