Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Mbona mnahangaika na mambo yaliyokuzidi umri, ww nunua Brevis au Crown tembelea, vidole havifanani
Crown ya mwaka 2020 zero kilometer bei yake utaigusa?!! tatizo la kununua gari za mitumba zilitengenezwa miaka 10, 15, 20 iliyopita inafanya msijue thamani halisi ya magari..ni kheri ungesema nunua brevis or crown mtumba ya mwaka flani utembelee ungeeleweka. Magari ya mtumba tunayonunua yamefifisha uwezo wa ubongo wetu kufikiri na kuamini Kuwa kila Crown inauzwa mil 16😂😂😂
 
Mkuu ngoja nikupe mfano mzuri uelewe

Toyota Rav 4 ziko za aina tofauti
1. Old Model
2. Miss Tanzania
3. Kill Time
4. Vanguard

Hzo zote hapo ni Rav 4 by nature ila bei zake ziko tofauti kabisa kutokana na Millage na mwaka uliiotengenezwa

Sasa hapo umeweka RR Ghost badala ya Culinan ambayo ni latest ya 2021 ulishindwa hata ku reason kawaida tu

Fine tyre zake mnasema gar ni used embu take trouble kutafuta bei ya used Culinan ni kiasi gani then urud tena

Tunaweza kwel kumchukia tu Diamond kwa sababu ya umasikini wetu ila atlist lets respect his husttle Man.

Peace n Out!!
Hizo zote siyo Rav 4
 
Crown ya mwaka 2020 zero kilometer bei yake utaigusa?!! tatizo la kununua gari za mitumba zilitengenezwa miaka 10, 15, 20 iliyopita inafanya msijue thamani halisi ya magari..ni kheri ungesema nunua brevis or crown mtumba ya mwaka flani utembelee ungeeleweka. Magari ya mtumba tunayonunua yamefifisha uwezo wa ubongo wetu kufikiri na kuamini Kuwa kila Crown inauzwa mil 16😂😂😂
Ni Sawa na mtu anakwambia nataka rav 4 (old model, kilitime, miss Tanzania na Vanguard) hizi mambo zinapatikana Tanzania tu!!!
 
Hakuna Rav 4 (old model,kilitime,miss Tanzania wala vanguard) wewe ni muongo wa mwisho!!...Yani unashindwa kusema models za Rav 4 unaleta ubishi tu!!..unaleta story zako za Facebook hapa!!..
Sasa kwan umeona hapa ni facebook embu ntolee upuuzi wako na ujuaji usiokuwa na kichwa wala miguu

Kwangu mm nazitambua hzo Rav 4 kwa namna hyo sio lazma na ww utambue the same sawa mzee?
 
Ni Sawa na mtu anakwambia nataka rav 4 (old model, kilitime, miss Tanzania na Vanguard) hizi mambo zinapatikana Tanzania tu!!!
Kumbe unaelewa hzi mambo ziko Tanzania sasa wewe hapo unacoment ukiwa wapi?

Embu tusaidie bas majina yake hzo aina za Rav 4
 
Kumbe unaelewa hzi mambo ziko Tanzania sasa wewe hapo unacoment ukiwa wapi?

Embu tusaidie bas majina yake hzo aina za Rav 4
Ni Tanzania pekee mtu mwenye ufahamu kukuzidi unaweza kumtukana kwasababu hata sheria zetu tukifwata tunaonekana tunawaonea wale wasiokua nacho
 
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?

Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.

Hiyo ni Ghost ile ni Culiman

Ingawa upo sahihi, kuwa bei sio zile wanazoropoka

Bei ipo chini tu
 
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?

Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.

Milioni 300 bei rahisi
Halafu gari ya Diamond ni Cullinan 2021,hiyo Ghost ni ya kwako
Mtu kama wewe hata 30,000 benki huna unapata wapi wa kusema gari ya mwenzio ni rahisi?
 
Back
Top Bottom