Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?

Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.

Kuna wazee nawalaumu kwanini wasingemwagia tu njee kuliko kuja kutuletea vituko hivi vinavyotusumbua huku jamii forums
😀
 
Alafu gari kupanda bei inaweza kupita bei ya kiwanda ni kawaida kama ilipitia katika kapuni za kumodify magari mfano black badge ya bro Naseeb haiwez kuwa sawa bei na black badge zilizopitia mansory au novitek kwa iyo tuache tuwivu tumpongeze simba au ulishawai jiuliza kwa nin Benz amg g 63 iliyotoka kiwandani inauzwa bei ya chin kuliko Benz amg g 63 ya BRABUS , salute to u simba unafanya niamin ata mimi kuwa siku moja naweza endesha gari ya ndoto zangu AMG G 63 naupenda sana uo mnyama
 
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?

Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.

Rolls Royce ya Diamond inaitwa Cullinan ambayo ni SUV. Hiyo uliyotuwekea wewe ni Rolls Royce Ghost ambayo ni Sedan. Kwa lugha nyepesi tunaweza kusema umefananisha Toyota Landcruiser na Toyota Crown. Japo ni zimetengenezwa na Toyota lakini ni gari mbili tofauti.
 
Kwahyo ni kweli Ile kitu sio SCANIA bali ni TATA?.
 
Kwaio milioni 300 ni bei rahisi? Daah ebwana wabongo wakikuchukia ni hatari sana
 
kuanzia Leo umu jamiforums hamna great thanker
[/QUOTE] 🙄🙄 asiye great thinker ni wewe peke yako
 
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?

Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.

I swear Baba yako Aliuza Bata ili apeleke Bata mwingine shuleni
Maana mwanaume wa kawaida hawezi kuwa na mentality kama ya kwako
Na kwa hiyo roho mbaya uki kaza tuu kidogo unakua mchawi kamili mzee baba
 
Loser comment. Shida ya umasikini ndio hii ukishindwa kutafuta pesa usitafute sababu za kujifariji kwanini wengine wamefanikiwa. Hakuna hela za uchawi wewe komaa, acha chuki na ujifunze kwa waliotoboa na wewe utafanikiwa
Natambua hali yangu mkuu, ila Mond siri ya utajiri wake anaunua yeye...mna kazi ya kusema hardwork pays, wangapi hawalali kwa kupiganisha kazi lakini hawatoboi kama Mond. Je mziki wake ni mzuri kuliko wa wengine.
Au mashairi yake ya kufirana kwenye nyimbo zake ndo hardworking inayompa hela nyingi Mond?
Acheni ujinga wa ushabiki kwa ma star..
Mnatumika pumbavu.
 
Back
Top Bottom