Gari la Ikulu ya Rais wa Kenya laibwa na kukamatwa mjini Moshi nchini Tanzania

Gari la Ikulu ya Rais wa Kenya laibwa na kukamatwa mjini Moshi nchini Tanzania

Bali ni "viatu". Akutukanaye hakuchagulii tusi. Ni hivyo tu. Kwa hiyo hayo yanayoibiwa Cape au Jberg na kukamatiwa darisalama ni wachaga wanayaibaga?? Basi kwa ufahamisho wako, Hakuna mwizi wa magari mzuri kama Muhaya na Mkikuyu.
Gari kukamatiwa Bomang'ombe haimaanishi ni mchaga aliliiba. It was on transit man
Wewe jamaa vipi?. Unakataa wachaga kutuhumiwa bila ushahid halafu unatuhuma wahaya bila ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nagamba mazimaa. Mazima gonka!!!! Sina haja buana kwani we hujuyi?
Hahaa.. sasa mkuu ungefuta kauli yako ingependeza. Unajua hizi notion sijui wachaga wezi e.t.c siyo za ku entertain. Kila mtu anaweza kuwa mwizi kwa sababu tofauti. Factors zipo nyingi zinazochangia mtu kuwa mwizi ambazo zinaweza ku mu affect mtu yoyote yule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa.. sasa mkuu ungefuta kauli yako ingependeza. Unajua hizi notion sijui wachaga wezi e.t.c siyo za ku entertain. Kila mtu anaweza kuwa mwizi kwa sababu tofauti. Factors zipo nyingi zinazochangia mtu kuwa mwizi ambazo zinaweza ku mu affect mtu yoyote yule.

Sent using Jamii Forums mobile app

Muambiye buana. Huyu jamaa anasema ati ni wachaga tu ndo wezi. Mutu yeyote buana anaweza kuwa mwizi tu. Sio kabila ndo linaiba bali ni mutu binafusi
 
Ahaah, mi nadhani hapa kuna kitu kinafichwa. Kama hiyo gari ni presidential van, kila wakati hata zikiwa yard, zinakuwa under maximum surveillance. Iweje hiyo gari itoke mpaka ivuke border.

Hebu wataalamu waje wadadavue. Kama huu ni wizi wa kawaida, basi ipo siku Ikulu ya Nchi hiyo itatekwa, au hata msafara wa Rais utakuja kuhujumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekwambia wachaga ndio wameiba nani,wanaume wa humu mbona mna kiherehere,mtoa mada mwenyewe hata haeleweki vizuri,maana anaandika kama amebumba kaa la moto,nyie nae mnadakia juu kwa juu eti wachaga akili kubwa,mnasikitisha sana aisee!
Kwani Mimi nimesema wachaga ndo wameiba mkuu? Nimesema tu watuhumiwa watatu wamekamatwa nawanahojiwa. Sijajua kosa langu ni lipi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa.. sasa mkuu ungefuta kauli yako ingependeza. Unajua hizi notion sijui wachaga wezi e.t.c siyo za ku entertain. Kila mtu anaweza kuwa mwizi kwa sababu tofauti. Factors zipo nyingi zinazochangia mtu kuwa mwizi ambazo zinaweza ku mu affect mtu yoyote yule.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe Kumbe wewe Mchagga, utakua Mchagga fake maana ni vigumu kuwapata Wachagga wenye muda wa kushinda na kukesha mitandaoni badala kuwa kule nje wakisaka hela.
 
Back
Top Bottom