Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu mimi siyo mchaga halafu mbona mimi mara nyingi huwaga nipo offline! Wewe wakati unaniona mimi nakesha humu wewe unakuaga wapi? nilitegemea na wewe Mkikuyu uwe una saka pesa..Hehehe Kumbe wewe Mchagga, utakua Mchagga fake maana ni vigumu kuwapata Wachagga wenye muda wa kushinda na kukesha mitandaoni badala kuwa kule nje wakisaka hela.
Usiwe na wasi wasi. Tukutane bar nikuleweshe hadi umsahau Mashinji na ufipa.
nenda karudie kusoma post no 5,no 9 na no 14 ambayo ndio mimi nimeijibu,nashangaa umekurupuka usingizini na kulalamika kuwa mimi nimekutaja kuwa unakosa,hakuna sehemu nimeijibu post yako mkuu!Kwani Mimi nimesema wachaga ndo wameiba mkuu? Nimesema tu watuhumiwa watatu wamekamatwa nawanahojiwa. Sijajua kosa langu ni lipi hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana maana situmii pombe endelea kutumia pesa za walipa kodiUsiwe na wasi wasi. Tukutane bar nikuleweshe hadi umsahau Mashinji na ufipa.
Hata msuba (msokoto) kama unatumia basi nitakununulia. Yaani leo nataka ufurahi hadi usahau ufipa.Pole sana maana situmii pombe endelea kutumia pesa za walipa kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu mimi siyo mchaga halafu mbona mimi mara nyingi huwaga nipo offline! Wewe wakati unaniona mimi nakesha humu wewe unakuaga wapi? nilitegemea na wewe Mkikuyu uwe una saka pesa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hatari sanaHii ni Mara ya pili gari la ikuru kuibiwa nakubuka kipindi cha Mwai Kibaki pia waliiba gari na ikashikiwa Moshi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wapo wanao kesha humu kutokana na ratiba zao kuruhusu ila siyo mimi msee.. mimi mwenyewe kila niki ingia nakutana na mapovu yako ukitetea serikali ya Mkikuyu mwenzakoWanaokesha humu hufahamika, yaani kila nikiingia JF nakuta wametririka kila hoja wamejibu wakati mimi hata nikisoma mada tatu najibu moja fasta na kukimbia maana majukumu yananizonga.
Halafu hehehe nakubali mimi Mkikuyu fake kiaina maana wale ndugu zangu wanajua kusaka hela sio mchezo.....mimi huwa nachelewa sana likija suala la kuzisaka.
Kweli wapo wanao kesha humu kutokana na ratiba zao kuruhusu ila siyo mimi msee.. mimi mwenyewe kila niki ingia nakutana na mapovu yako ukitetea serikali ya Mkikuyu mwenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni tuhuma ambazo hazijathibitishwa. Kilimanjaro ni nearest boarder region baada ya ARUSHA. Sasa kwa nini isiwe ni Njia pia? Cha msingi hapa tufahamu majina ya wezi ili uwe umefanikisha best judgement.
Nakubaliana na wewe, bila shaka na wewe umewaona wakikiyu wapya wanavyo zingua! Unaeza ukatumia fursa ya kuwa kanya labda watakusikiliza kaka yaoKuna wakati nilikua natumia muda mwingi humu nikipambana kujibu hoja, kipindi hicho ni wakati JF ilikua na great thinkers, wadau ambao walikua wanasababisha kwanza nitafiti kila kitu kabla sijakitolea maelezo, watu walikua wanadadavua taarifa za uchumi na teknolojia na kubishana kwa hoja, lakini baadaye humu tuliingiliwa na malofa wengi wanywa viroba hadi jukwa likaharibika, siku hizi ni ushindani wa nani mwenye dushe refu basi.
hahahaKuna wakati nilikua natumia muda mwingi humu nikipambana kujibu hoja, kipindi hicho ni wakati JF ilikua na great thinkers, wadau ambao walikua wanasababisha kwanza nitafiti kila kitu kabla sijakitolea maelezo, watu walikua wanadadavua taarifa za uchumi na teknolojia na kubishana kwa hoja, lakini baadaye humu tuliingiliwa na malofa wengi wanywa viroba hadi jukwa likaharibika, siku hizi ni ushindani wa nani mwenye dushe refu basi.
Enzi za FMES,"sauti ya umeme"nyc kuja kujua ni le mutuz boya huyu,kibunango, Mzee mwanakijiji,Balantanda,game50,Nyani yupo Ananyapia.Kuna wakati nilikua natumia muda mwingi humu nikipambana kujibu hoja, kipindi hicho ni wakati JF ilikua na great thinkers, wadau ambao walikua wanasababisha kwanza nitafiti kila kitu kabla sijakitolea maelezo, watu walikua wanadadavua taarifa za uchumi na teknolojia na kubishana kwa hoja, lakini baadaye humu tuliingiliwa na malofa wengi wanywa viroba hadi jukwa likaharibika, siku hizi ni ushindani wa nani mwenye dushe refu basi.