Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #21
Bomang'ombe mkuu sorry lakini taarifa imetolewa mjini moshiLabda tumwulize kama Moshi kuna mtaa unaoitwa "Boni n'gombe" binafsi sijawahi kuusikia!
Wewe jamaa vipi?. Unakataa wachaga kutuhumiwa bila ushahid halafu unatuhuma wahaya bila ushahidi.Bali ni "viatu". Akutukanaye hakuchagulii tusi. Ni hivyo tu. Kwa hiyo hayo yanayoibiwa Cape au Jberg na kukamatiwa darisalama ni wachaga wanayaibaga?? Basi kwa ufahamisho wako, Hakuna mwizi wa magari mzuri kama Muhaya na Mkikuyu.
Gari kukamatiwa Bomang'ombe haimaanishi ni mchaga aliliiba. It was on transit man
Aise hata aijulikani ila polisi wetu wapo makini sana nimekubali maana jamaa walishabadilisha mpaka namba za usajiliKuna watu wana roho ngumu aisee, sasa lilipita border kwa maelezo yapi?
Alafu nini kilitokea?Kuna mwaka mmoja wahehe kutoka kijiji flani maarufu kwa wizi wa mifugo walienda kuiba mbuzi wote 25 wa kamanda wa polisi wa mkoa RPC wa Iringa
Hahahaha nimesahau kumbe wabongo Siku hizi hawaangalii taarifa ya habari kwa njia ya kawaida
Hahaa.. sasa mkuu ungefuta kauli yako ingependeza. Unajua hizi notion sijui wachaga wezi e.t.c siyo za ku entertain. Kila mtu anaweza kuwa mwizi kwa sababu tofauti. Factors zipo nyingi zinazochangia mtu kuwa mwizi ambazo zinaweza ku mu affect mtu yoyote yule.Nagamba mazimaa. Mazima gonka!!!! Sina haja buana kwani we hujuyi?
Nyama ilishuka bei mji mzima!
Wewe vipi?? Unatafuta ushahidi kwani we polisi?? Tunakuambia kwa sababu sisi ndio tupo kwenye chama. Haya, shut yuwa mausi plisi. UsinijaribuWewe jamaa vipi?. Unakataa wachaga kutuhumiwa bila ushahid halafu unatuhuma wahaya bila ushahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga ni wezi aiseeeeeeeeeeWewe vipi?? Unatafuta ushahidi kwani we polisi?? Tunakuambia kwa sababu sisi ndio tupo kwenye chama. Haya, shut yuwa mausi plisi. Usinijaribu
Hahaa.. sasa mkuu ungefuta kauli yako ingependeza. Unajua hizi notion sijui wachaga wezi e.t.c siyo za ku entertain. Kila mtu anaweza kuwa mwizi kwa sababu tofauti. Factors zipo nyingi zinazochangia mtu kuwa mwizi ambazo zinaweza ku mu affect mtu yoyote yule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mimi nimesema wachaga ndo wameiba mkuu? Nimesema tu watuhumiwa watatu wamekamatwa nawanahojiwa. Sijajua kosa langu ni lipi hapoAliyekwambia wachaga ndio wameiba nani,wanaume wa humu mbona mna kiherehere,mtoa mada mwenyewe hata haeleweki vizuri,maana anaandika kama amebumba kaa la moto,nyie nae mnadakia juu kwa juu eti wachaga akili kubwa,mnasikitisha sana aisee!
Sasa uende kwa pole pole ukachukue buku 7 yakoNdio maana wanakorofishana huko ufipa, wanapokonyana ruzuku hadi wengine wanaamua kujitoa.
Tena nitanyata, duh.
Hahaa.. sasa mkuu ungefuta kauli yako ingependeza. Unajua hizi notion sijui wachaga wezi e.t.c siyo za ku entertain. Kila mtu anaweza kuwa mwizi kwa sababu tofauti. Factors zipo nyingi zinazochangia mtu kuwa mwizi ambazo zinaweza ku mu affect mtu yoyote yule.
Sent using Jamii Forums mobile app