Gari la Ikulu ya Rais wa Kenya laibwa na kukamatwa mjini Moshi nchini Tanzania

Hehehe Kumbe wewe Mchagga, utakua Mchagga fake maana ni vigumu kuwapata Wachagga wenye muda wa kushinda na kukesha mitandaoni badala kuwa kule nje wakisaka hela.
Hapana mkuu mimi siyo mchaga halafu mbona mimi mara nyingi huwaga nipo offline! Wewe wakati unaniona mimi nakesha humu wewe unakuaga wapi? nilitegemea na wewe Mkikuyu uwe una saka pesa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Mimi nimesema wachaga ndo wameiba mkuu? Nimesema tu watuhumiwa watatu wamekamatwa nawanahojiwa. Sijajua kosa langu ni lipi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
nenda karudie kusoma post no 5,no 9 na no 14 ambayo ndio mimi nimeijibu,nashangaa umekurupuka usingizini na kulalamika kuwa mimi nimekutaja kuwa unakosa,hakuna sehemu nimeijibu post yako mkuu!
 
Hapana mkuu mimi siyo mchaga halafu mbona mimi mara nyingi huwaga nipo offline! Wewe wakati unaniona mimi nakesha humu wewe unakuaga wapi? nilitegemea na wewe Mkikuyu uwe una saka pesa..

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaokesha humu hufahamika, yaani kila nikiingia JF nakuta wametririka kila hoja wamejibu wakati mimi hata nikisoma mada tatu najibu moja fasta na kukimbia maana majukumu yananizonga.
Halafu hehehe nakubali mimi Mkikuyu fake kiaina maana wale ndugu zangu wanajua kusaka hela sio mchezo.....mimi huwa nachelewa sana likija suala la kuzisaka.
 
Kweli wapo wanao kesha humu kutokana na ratiba zao kuruhusu ila siyo mimi msee.. mimi mwenyewe kila niki ingia nakutana na mapovu yako ukitetea serikali ya Mkikuyu mwenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nashauri iwekwe clip ya tukio wahusika watatajwa kwa majina kumaliza ubishi. Ninavyofahamu mimi wizi wa magari na mabenki unaovuka mipaka kwa majiji ya Arusha, Moshi na Nairobi unahusisha sana Wachagga na Wakikuyu wana mtandao wa Kimafya! Na hilo gari ni inside work wameiba wasijue ku-disable GPS tracking system. Moi aliibiwa pia Range Rover ikakamatwa Moshi/Arusha.
 
Kweli wapo wanao kesha humu kutokana na ratiba zao kuruhusu ila siyo mimi msee.. mimi mwenyewe kila niki ingia nakutana na mapovu yako ukitetea serikali ya Mkikuyu mwenzako

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna wakati nilikua natumia muda mwingi humu nikipambana kujibu hoja, kipindi hicho ni wakati JF ilikua na great thinkers, wadau ambao walikua wanasababisha kwanza nitafiti kila kitu kabla sijakitolea maelezo, watu walikua wanadadavua taarifa za uchumi na teknolojia na kubishana kwa hoja, lakini baadaye humu tuliingiliwa na malofa wengi wanywa viroba hadi jukwa likaharibika, siku hizi ni ushindani wa nani mwenye dushe refu basi.
 
Acheni tuhuma ambazo hazijathibitishwa. Kilimanjaro ni nearest boarder region baada ya ARUSHA. Sasa kwa nini isiwe ni Njia pia? Cha msingi hapa tufahamu majina ya wezi ili uwe umefanikisha best judgement.

toka tarehe 19 mpaka leo kama on transit wakae uchagani wanasubiri nini
 
Nakubaliana na wewe, bila shaka na wewe umewaona wakikiyu wapya wanavyo zingua! Unaeza ukatumia fursa ya kuwa kanya labda watakusikiliza kaka yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za FMES,"sauti ya umeme"nyc kuja kujua ni le mutuz boya huyu,kibunango, Mzee mwanakijiji,Balantanda,game50,Nyani yupo Ananyapia.
Huwaoni hawa siku hizi mada "dushe yangu inasimama sana"mke wa jirani ananitega, namtamani housegirl,mama mwenye nyumba kanipa vitumbua naomba ushauri.
Hizi kesi miaka yetu unamaliza kimya kimya hata km umeoa.
Wanaume wa Dar, tight jeans wanaletewa na mchina wanasema zinapwaya wanapeleka kwa fundi abane zionyeshe vitako vyao vyenye ukurutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…