Gari la Ikulu ya Rais wa Kenya laibwa na kukamatwa mjini Moshi nchini Tanzania

Heading inasema gari imekamatwa mjini Moshi.

Kwenye maelezo gari imekamatwa "boning'ombe" wilaya ya Hai.


Una haraka gani kwanini usitulie ukaandika kitu kikaeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Limekamatwa boma lakini kituo kikuu kipi moshi,si gari liko mjini moshi...haliwezi kaa boma,makao makuu ni mjini moshi,
Njmemsaidia mwandishi jameni.
 
Ila Polisi wa Tanzania wanaviherehere as if wapo kwenye pay roll ya Kenya! Gari latest model Nissan V8 tushafanya yetu maana Wafanyakazi wa Kenya sana njaa sana wapo radhi kuuza mpaka wake zao ili tu wapate Fedha! Salute to All guyz who made this possible next time we'll steal their standard Gauge or KLM as we did in MV Victoria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa ni gari la ikulu ya Tz limeibiwa na wakenya nakuhakikishia hapa pangechimbika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…