Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha kuacha barabara na kisha kugonga gema na kupinduka. Kamanda wa Polisi Babati mkoani Manyara Paul Kasabago amethibitisha kutokea kwa tukio.