Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Na Siyo Kwa Mabaya.Mtanikumbuka kwa mazuri yangu
Kivipi mkuu?Haya mambo tulisha yasahau
Ajali ya Lori la mafuta morogoro ilitokea lini?!Mtanikumbuka kwa mazur sio kwa mabaya.Naona hizi ajari kuna mtu alikua kazifungia ndani kipindi cha Magu sasa kaondoka mbabe nae kafungulia Watanzania tumwombe Mungu.
Ya kwenda wapi?Na Golden Deer pia imeanguka Leo!
Dar-Tunduma Mkuu!Ya kwenda wapi?
Kuna mtu alisafiri leo simpati hewan