Gari la Magereza lapata ajali, Wafugwa wajeruhiwa


Gari lenyewe la mzigo huenda hao wafungwa walikuwa wanapelekwa kufanya kazi kwa mkubwa!

Ila kibongo bongo utasikia"kulikuwa na shughuli maalumu ya kikazi wanafanya"
 
Hii picha ya gari siyo ya magereza Tanzania bali ni ile ya askari wa ukraine iliyopigwa bomu na urusi hivi karibuni.

Mleta thread inabidi ukapimwe mkojo
 
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni kama kuna muda vinasahaulika. Nimeona habari ya gari la magereza kupata ajali, najiuluza katika miaka 60 baada ya uhuru, hivi kweli hili gari linatumikaje na chombo nyeti kama jeshi la magereza?
 
Hivi kwanini askari Magereza hawadhaminiwi kama majeshi mengine? Serikali litazameni na hili, Magereza wana haki sawa kama majeshi mengine, mfano mzuri ni Polisi japo ni Wizara moja wanathaminiwa kuliko Magereza kosa kubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…