Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
- Thread starter
- #41
Jeshi la Magereza limesahaulika.Ila Jeshi la Magereza wanaongoza kwa magari mabovu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la Magereza limesahaulika.Ila Jeshi la Magereza wanaongoza kwa magari mabovu!
Kabla ya ajali lilikua bovu Zaid. Nibora linavyo onekana hapo baada ya kula muereka.tungepata picha kabla ya ajali, kama inawezekana
Hii gari gani bedford au
Hi mbona Kali tu yaan nikipata hyo napeleka kbsa body Kisha narudisha kuiombeaa kazza kubeba taka kwa siku naletewa 250000Hicho chuma chakavu ni Isuzu, Leyland au Bedford?
Ni Gari no D hiyo amaGari "bovu na chakavu" la Magereza wilaya ya Kiteto mkoani Manyara limepata ajali eneo la Kaloleni na baadhi ya Wafugwa majeruhi wamekimbizwa hospitali ya Kiteto kwa matibabu.
Picha za gari iliyopata ajali
View attachment 2410439View attachment 2410442