Gari la Magereza lapata ajali, Wafugwa wajeruhiwa

Gari la Magereza lapata ajali, Wafugwa wajeruhiwa

Hivi kwanini askari Magereza hawadhaminiwi kama majeshi mengine? Serikali litazameni na hili, Magereza wana haki sawa kama majeshi mengine, mfano mzuri ni Polisi japo ni Wizara moja wanathaminiwa kuliko Magereza kosa kubwa mno.
Askari magereza hawana msaada kipindi cha uchaguzi,
Hiyo Isuzu Txd bado mpya kwao, na ikiinuliwa hapo ni kazikazi,
 
Bado tunawaza kupanisha satellite yetu ilhali tunatumia Isuzu Injection kukuu kuu
 
Gari "bovu na chakavu" la Magereza wilaya ya Kiteto mkoani Manyara limepata ajali eneo la Kaloleni na baadhi ya Wafugwa majeruhi wamekimbizwa hospitali ya Kiteto kwa matibabu.

Picha za gari iliyopata ajali

View attachment 2410439View attachment 2410442
Hilo gari au chuma chakavu? , aisee kumpakia binadamu humo ni ukiukwaji wa haki za kibinadamu , hayo mavyuma kutu tu inatosha kukuinfect na kukua
 
Back
Top Bottom