Gari la Magereza lapata ajali, Wafugwa wajeruhiwa

Hii picha ya gari siyo ya magereza Tanzania bali ni ile ya askari wa ukraine iliyopigwa bomu na urusi hivi karibuni.

Mleta thread inabidi ukapimwe mkojo
Watch your ass
 
Hivi kwanini askari Magereza hawadhaminiwi kama majeshi mengine? Serikali litazameni na hili, Magereza wana haki sawa kama majeshi mengine, mfano mzuri ni Polisi japo ni Wizara moja wanathaminiwa kuliko Magereza kosa kubwa mno.
Askari magereza hawana msaada kipindi cha uchaguzi,
Hiyo Isuzu Txd bado mpya kwao, na ikiinuliwa hapo ni kazikazi,
 
Bado tunawaza kupanisha satellite yetu ilhali tunatumia Isuzu Injection kukuu kuu
 
Hilo gari au chuma chakavu? , aisee kumpakia binadamu humo ni ukiukwaji wa haki za kibinadamu , hayo mavyuma kutu tu inatosha kukuinfect na kukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…