Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

Mleta mada acha uchochezi, mwenye kufanya siasa chafu ni nani Kati ya pande hizo mbili? Tena uache kuchochea chiki na hasira kwa wanaoonewa.
 
Inawezakana amelichoma mwenyewe kwa malengo maalum.
 
Sasa bima ndo watakuwa wamekuagiza kupeleka gari karibu na jiko la chipsi? itabidi ujipange sana kuwaelewesha vinginevyo hesabu maumivu.
Kulipwa ni mchakato ambao unauandaa kabla hata hujachoma gari πŸ˜…
 
Unaongelea bima wa mwaka 47 mkuu. Siyo Hawa wa miaka hii wenye njaa na tamaa. Ukitenga milioni 2 za kuwapanga hao watendaji wa bima, malipo hata ya milioni 100 ni fasta
Nimemwambia pia huyo kolo, mchakato wa kulipwa unapangwa kabla hata hujapiga tukio! Unatembeza kibunda tu kisha unafanya yako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… unasubiria miezi kadhaa mzigo unaingizwa bank au chombo mpya inanunuliwa!
 
Reactions: G4N
Sema huyo boya ana hela sana ila anawaigizia tu! Tatizo lake ni uchawi manina naskia anaogopeka sana jimboni hapo πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜‚
 
Kulipwa ni mchakato ambao unauandaa kabla hata hujachoma gari πŸ˜…
Miaka ya nyuma kuna watu hiyo ndy ilikuwa michongo yao,njia goba ilitumika sana
Ilikuwa haipiti siku 2 unakuta gari limegongwa,limeungua ehhh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
 
Na serikali ikaufyata!. Kwamba gaidi akazidi kutamba, wala pasiwe na mtu wa kukohoa!. Kwamba serikali haijui aliko huyo driver ama haina ubavu wa kumchukua!. Hapa unaelewa unachomaanisha kwamba nchi haina serikali?

Lisu alipigwa na gaidi baada ya kusikia fununu anataka kugombea uenyekiti ndiyo maana dereva akafichwa mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…