Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Ndio ndio ndo yeyeNi yule mtangazaji wa tbc ama? Nayeye anautaka ubunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ndio ndo yeyeNi yule mtangazaji wa tbc ama? Nayeye anautaka ubunge
Naijua Tukuyu, ni nyumbani kwetu kabisa. Nawajua nje ndani, Enock awe mwangalifu sana. Ajitahidi kushika Mungu kwa uaminifu. Bahati Mbaya hakujawahi kutokea Mwanasiasa Mcha Mungu kwa uaminifu.
Limemgomeaaa mpwaa Bwiagane GARI alisomeki hata BIMA ooh wakajua wamemuwahi haposijajuaa nayeye KAMATI zimekaaje yukonjemaHuu ubunge huu inabidi uwe mtu wa Mungu au uonane na mafundi wakutengeneze .Nina mwanangu nae mtia nia gari lime mgomea mara tatu juzi.
Kuna watu wana roho mbaya.Hahahaaa ashukuru
Limemgomeaaa mpwaa Bwiagane GARI alisomeki hata BIMA ooh wakajua wamemuwahi haposijajuaa nayeye KAMATI zimekaaje yukonjema
Waganga kipindi hichi wanamasharti magumu usishangae wakakwambia upeleke mkono wa mtoto mchangaNDUGU yangu NAJUA hunijui
Omba Salii funga sanaa UKIONA vita imeanza hivi MDA WA kujifunga mkanda na Mungu ama upande WA pili asimame NA wewe mpaka MWISHO WA kampeni
POLENI sana wafiwa pole sana kaka ERICK kwa kuhairbikiwa GARI
Aliefariki ni dereva wake
===
Gari ya Mtangazaji wa TBC Enock Bwigane ambaye pia ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Rungwe imepata ajali na dereva wake Godwin Bakamba amefariki dunia.
Enock Bwigane amesema “gari yangu imehusika katika ajali ndugu yangu aliekuwa kama dereva wangu Godwin Bakamba amefariki dunia katika ajali iliyotokea usiku, katika tukio Mimi sikuwepo katika tukio la ajali husika’
‘Alinileta nyumbani akawa anaenda kwake ndio akapata ajali alikuwa anaelekea nyumbani kwake, tupo tunafuatilia taratibu za mwisho ili tuweze kumpuzisha leo” Enock Bwigane.
Toyota grandeWataalamu wa picha,gari gani lile?