Gari la mtangaza nia wa CCM, Enock Bwigane lapata ajali. Dereva aaga dunia

Gari la mtangaza nia wa CCM, Enock Bwigane lapata ajali. Dereva aaga dunia

Wataalamu wa picha,gari gani lile?
Mark II Gx110
FB_IMG_1595226975144.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naijua Tukuyu, ni nyumbani kwetu kabisa. Nawajua nje ndani, Enock awe mwangalifu sana. Ajitahidi kushika Mungu kwa uaminifu. Bahati Mbaya hakujawahi kutokea Mwanasiasa Mcha Mungu kwa uaminifu.

Wanyaki hovyo sana, wana wivu wa kiboya mno. Hawakawii kukutanguliza mbele ya haki kabla ya wakati wako.
 
Hahahaaa ashukuru
Huu ubunge huu inabidi uwe mtu wa Mungu au uonane na mafundi wakutengeneze .Nina mwanangu nae mtia nia gari lime mgomea mara tatu juzi.
Limemgomeaaa mpwaa Bwiagane GARI alisomeki hata BIMA ooh wakajua wamemuwahi haposijajuaa nayeye KAMATI zimekaaje yukonjema
 
hii imekaa ki kampeni kampeni zaidi ………...
 
NDUGU yangu NAJUA hunijui
Omba Salii funga sanaa UKIONA vita imeanza hivi MDA WA kujifunga mkanda na Mungu ama upande WA pili asimame NA wewe mpaka MWISHO WA kampeni

POLENI sana wafiwa pole sana kaka ERICK kwa kuhairbikiwa GARI

Aliefariki ni dereva wake
===

Gari ya Mtangazaji wa TBC Enock Bwigane ambaye pia ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Rungwe imepata ajali na dereva wake Godwin Bakamba amefariki dunia.

Enock Bwigane amesema “gari yangu imehusika katika ajali ndugu yangu aliekuwa kama dereva wangu Godwin Bakamba amefariki dunia katika ajali iliyotokea usiku, katika tukio Mimi sikuwepo katika tukio la ajali husika’

‘Alinileta nyumbani akawa anaenda kwake ndio akapata ajali alikuwa anaelekea nyumbani kwake, tupo tunafuatilia taratibu za mwisho ili tuweze kumpuzisha leo” Enock Bwigane.
Waganga kipindi hichi wanamasharti magumu usishangae wakakwambia upeleke mkono wa mtoto mchanga
 
Back
Top Bottom