Gari la Serikali lanaswa na madawa ya kulevya

Kwani lile jahazi lililokamatwa wakati wa uchaguzi lilipelekwa wapi na watu hao wako mahakama gani?
2 na lile bomba lamafuta la kigamboni ni nani alikua anaiba yale mafuta na mpaka sasa wamefikishwa wapi?
Wizi wa mafuta na madawa ya kulevya wapi na wapi boss wangu?
 
Kwani lile jahazi lililokamatwa wakati wa uchaguzi lilipelekwa wapi na watu hao wako mahakama gani?
2 na lile bomba lamafuta la kigamboni ni nani alikua anaiba yale mafuta na mpaka sasa wamefikishwa wapi?
Lile jahaz ulikuwa mzigo wa m2 mzito ndio maana kes imeisha kimya kimya na wapakistan hawajulikana walipo.
Iile bomba waliofanya uhuni ni makampun ya m2 mzito ndio maana hata kes yake huto ickia tena.
 
Neema ya Mungu ndo ije izuie hayo madawa? Basi acha hangaya aendelee kuuchapa usingizi sisi tukisubiri.
 
makonda arudi wapi kwa sasa anasakwa akaripoti mahakamani ajibu tuhuma zinazomkabili enzi za utawala wa kifirahuni
 
Mmliki wake si ni serikali?
Ama munamaanisha dereva?

Anywas: Kamba zimeanza kukatika kwa hiyo ni kula popote.
namba si zinatengenezwa tu.inawezekana si gari la serikali ila limebandikwa namba hiyo ili iwe rahisi kuvusha hayo madawa.makonda alikuwa sahihi ila approach aliyokuwa anaitumia haikuwa sahihi.huenda pia naye alikuwa na maslahi yake huko.hii biashara ndo inayowatajirisha watu wengi hivyo serikali inatakiwa kuwa makini sana ndo maana hata maandiko yanasema ni vigumu kwa tajiri kuurithi ufalme wa Mungu kama alivyo ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.aliona matajiri karibu wote wanafanya illegal business.kongole kwa waliotoa taarifa ya dili hilo.
 
Mmiliki wa gari la serikali hajulikani ndo maana hawajataja namba za gari , wakitaja atajulikana
Hahah
Swali langu ni rahisi mno.

Lakini inamaanisha serikali ina wamiliki wadogo wadogo huko ndani siyo...

Mwandishi ni amaeture
 

Mmiliki si serikali Jaman?
 
Hivi enzi za Jiwe gazeti gani lingeweza report habari kama hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…