Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐น๐ฎ ๐ง๐ฒ๐๐น๐ฎ ๐น๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ๐ป๐ป๐ฒ ๐
Watu wa nne wenye umri kati ya miaka 26 mpaka 32 waliweza kupoteza maisha kwenye jiji la Toronto nchi ya Italian Baada ya gari aina ya Tesla kuwaka moto baada ya kugonga nguzo wakiwa ndani na kushindwa kutoka.
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 20 yeye alikua Abiria wa tano aliyeweza kunusulika chupuchupu baada ya mtu mmoja kuvunja Kioo cha karibu na kumtoa nje.
Gari za Tesla zinatumia mifumo ya electronic kujiendesha mpaka kujifungua sasa watu hao walikufa baada ya milango kujiloki wakati watu hao walipopata ajali kwa kugonga nguzo ya umeme iliyopeleka gari kuwaka moto wakiwa ndani na kufanya milango kujifunga kusababisha watu kuungulia ndani ya gari mpaka kufa๐.
Gari za Tesla zinalalamikiwa sana kwenye kusababisha watu kufa huku wakijitahidi kujinasua maana wengi wanajikuta wanakufa wakiwa kwenye mazingira magumu baada mitambo ya kieletroniki kushindwa kufanya kazi.