Gari la Tesla limeua watu wanne

Gari la Tesla limeua watu wanne

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—š๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐˜€๐—น๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜‚๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ป๐—ฒ ๐Ÿ˜”

1_20241115_010625_0000.png


Watu wa nne wenye umri kati ya miaka 26 mpaka 32 waliweza kupoteza maisha kwenye jiji la Toronto nchi ya Italian Baada ya gari aina ya Tesla kuwaka moto baada ya kugonga nguzo wakiwa ndani na kushindwa kutoka.

2_20241115_010625_0001.png


Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 20 yeye alikua Abiria wa tano aliyeweza kunusulika chupuchupu baada ya mtu mmoja kuvunja Kioo cha karibu na kumtoa nje.

3_20241115_010625_0002.png


Gari za Tesla zinatumia mifumo ya electronic kujiendesha mpaka kujifungua sasa watu hao walikufa baada ya milango kujiloki wakati watu hao walipopata ajali kwa kugonga nguzo ya umeme iliyopeleka gari kuwaka moto wakiwa ndani na kufanya milango kujifunga kusababisha watu kuungulia ndani ya gari mpaka kufa๐Ÿ˜ž.

4_20241115_010625_0003.png


Gari za Tesla zinalalamikiwa sana kwenye kusababisha watu kufa huku wakijitahidi kujinasua maana wengi wanajikuta wanakufa wakiwa kwenye mazingira magumu baada mitambo ya kieletroniki kushindwa kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom