Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Walamba viatu lazima mtetee kila jambo!Utakufa na stress wewe dogo. Tulia fanyakazi zako achana na mambo usiyonauwezo nayo!
Ila mtu asiyekuwa mbinafsi lazima awe na stress kwa maslahi ya watu wote.Yaani wewe tangu uingie humu JF ni kulalamika tuu!! Wakati mwingine pumzisha akili zako lasiyo stress zitakuzeesha mapema au kifo kabisa.
Kuwanunua covid 19 kutumia pesa za umma kudidimiza demokrasia ni ulalamishi?Yaani wewe tangu uingie humu JF ni kulalamika tuu!! Wakati mwingine pumzisha akili zako lasiyo stress zitakuzeesha mapema au kifo kabisa.
Pesa inayotumika kuwadhoofisha chadema ni kubwa mara 200 ya hivyo vipesa vya kununua kagali ka milion 400gar la mil 400.
Pesa inayotumika kudidimiza demokrasia ni nyingi mno ni maradufu kwa kiwango cha kutisha kama kweli wanataka kubana matumizi ya pesa za umma waacha kutumia pesa za walipa kodi pesa za viwanda kudidimiza demokrasiaYaani wewe tangu uingie humu JF ni kulalamika tuu!! Wakati mwingine pumzisha akili zako lasiyo stress zitakuzeesha mapema au kifo kabisa.
Kama hivyo juhudi ni kubwa ,kukabiliana na wale wenye mawazo mbadala wakwamisha maendeleo.Pesa inayotumika kuwadhoofisha chadema ni kubwa mara 200 ya hivyo vipesa vya kununua kagali ka milion 400
Watz wa wapi unawasemea? Kwa uchaguzi upi? Wapi? ingekuwa saccos mngehangaika kutumia mabilioni kuiangamiza? Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetaniKwahiyo wanasaccos wote ni wakununuliwa tu kama bidhaa za madukani eeh!!? Kumbe watz wanaona mbali sana kuwanyima kura!
ingekuwa saccos msingekuwa mnatumia gharama kubwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu na mambo ya hovyo kiasi hicho mngeacha wananchi waamue wenyeweHebu niambie demokrasi kwako ni pale wanasaccos wakishinda au?
Sema magufuli na tume ya uchaguzi ndio walioamua sio wananchiWananchi wameshaamua. Baki na stress zako tu mkuu!
Polisiccm jwtzccm mahakamaccm wakurugenziccm Msajiliccm Uhamiajiccm magerezaccm mpaka Tbcccm ni mali binafsi za CCM hapo kuna haki kwa wapinzani? Haki inatokea wapi?Pole kama wamekunajisi na kukubaka lakini ilikuwaje ukakubali kubakwa na kunajisiwa wakati unajifanya you are so educated??
Io ya uchaguzi wa marudio iko kwenye budget.Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Alieturgo hakika ni fundi!
Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!