Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?

Alieturgo sio tu kafa,bali kwa hakika alikuwa fundi!

Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Atakwambia democrasia ina gharama
 
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?

Alieturoga watanzania sio tu kafa, bali kwa hakika alikuwa fundi!

Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Not only that. What about the heavy loses surrounding the Airline business (ATC) including the Chato International Airport? Are they a national security issue?
 
Pesa inayotumika kudidimiza demokrasia ni nyingi mno ni maradufu kwa kiwango cha kutisha kama kweli wanataka kubana matumizi ya pesa za umma waacha kutumia pesa za walipa kodi pesa za viwanda kudidimiza demokrasia
Wanapinga ngumi ukutani. Hawawezi kuua upinzani kwa kuwa wanaupalilia na kuulea kwa vitendo vyao wenyewe. Upinzani uko mioyoni mwa watu.
 
Kwa hiyo mbunge akihama chama,jimbo libaki wazi tu mpaka uchaguzi mwingine au ahame na ubunge wake?

Demokrasia ni gharama by nature!

Hoja ya kununuliwa haijawahi hata kuthibitishwa miaka yote zaidi ya blah blah tu.

Labda mngetuambia CHADEMA ilimnunua Nyalandu kwa bei gani.
 
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?

Alieturoga watanzania sio tu kafa, bali kwa hakika alikuwa fundi!

Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Kwenye chaguzi si ndiyo anakopigia pesa
 
Back
Top Bottom