Hakuna mwananchi mwenye Akili timamu timilifu anaweza kuichagua CCM zaidi ya NECCCM Tumeccm na Polisiccm kuisimika CCM madarakani kienyeji kwa njia haramu za kishetaniSema magufuli na tume ya uchaguzi ndio walioamua sio wananchi
Pesa inayotumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa ni kubwa kuliko vx la milion 400Io ya uchaguzi wa marudio iko kwenye budget.
Alafu si ufisadi.
Haijalishi ilimradi ipo katika utaratibu.Pesa inayotumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa ni kubwa kuliko vx la milion 400
Eti alietoa Kibali mpaka sasa hana kosa!Halafu mtu mwenyewe anadai alipata kibari kutoka ofsi ya waziri mkuu sasa sijui inakuwaje hapo..
Heshima kwako Salary slipWakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Alieturgo hakika ni fundi!
Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Hongera Rais Wangu kwa uzalendoWakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Alieturgo hakika ni fundi!
Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
gar la mil 400.
Kuna bifu kati ya mbunge wa Geita na huyo mkurugenzi ndipo wamemkomoa lakini kama ni vx zipo Nchi nzima na CCM ndiyo Serikali Duniani inayotumia vx Nchi nzima ni tofauti na Nchi Jiran zoteKawaida sana Labda wewe unaishi Itilimaa
Magari hayo mbona wanayo wakurugenzi wengi wa Mashirika ya Uma yaani Serikalini!
Au wai Hawausiki? Wao sio wakurugenzi?
Mashirika Mengi ya Serikalini yana V8!
Gharama hizo hizo..
Mnakuja kumuonea jamaa wa watu kwa kufuata Ushabiki eti Kaseku Msukuma kasema!
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji kwa wapinzani kwa gharama kubwa kuliko vx ya milion 400 ?Hongera Rais Wangu kwa uzalendo
Siyo Halmashauri ya Geita bali ni Halmashauri ya mji wa GeitaWakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Alieturgo hakika ni fundi!
Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
lamba na wewe uachane na kuishiwa maji mwilini kila mara.Walamba viatu lazima mtetee kila jambo!
Ndo maana lissu anawaita maccmChadema waliiba gari kama hili la KUB usiku eti watabana matumizi
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Hakukuwa na kura za wananchi, yale yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.Kwahiyo wanasaccos wote ni wakununuliwa tu kama bidhaa za madukani eeh!!? Kumbe watz wanaona mbali sana kuwanyima kura!
Uchaguzi wa marudio no hitaji la kikatiba
Very very good pointKwahiyo wanasaccos wote ni wakununuliwa tu kama bidhaa za madukani eeh!!? Kumbe watz wanaona mbali sana kuwanyima kura!