Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Atakwambia democrasia ina gharamaWakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Alieturgo sio tu kafa,bali kwa hakika alikuwa fundi!
Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Ni kweli lakini demokrasia hainunuliwi na wala haifungamani na rushwa.Atakwambia democrasia ina gharama
Not only that. What about the heavy loses surrounding the Airline business (ATC) including the Chato International Airport? Are they a national security issue?Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Alieturoga watanzania sio tu kafa, bali kwa hakika alikuwa fundi!
Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Wanapinga ngumi ukutani. Hawawezi kuua upinzani kwa kuwa wanaupalilia na kuulea kwa vitendo vyao wenyewe. Upinzani uko mioyoni mwa watu.Pesa inayotumika kudidimiza demokrasia ni nyingi mno ni maradufu kwa kiwango cha kutisha kama kweli wanataka kubana matumizi ya pesa za umma waacha kutumia pesa za walipa kodi pesa za viwanda kudidimiza demokrasia
Kwenye chaguzi si ndiyo anakopigia pesaWakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Alieturoga watanzania sio tu kafa, bali kwa hakika alikuwa fundi!
Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Well saidWanapinga ngumi ukutani. Hawawezi kuua upinzani kwa kuwa wanaupalilia na kuulea kwa vitendo vyao wenyewe. Upinzani uko mioyoni mwa watu.