Gari lako la kwanza kumiliki lilikuwa ni aina gani?

Gari lako la kwanza kumiliki lilikuwa ni aina gani?

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Mimi nilianza na Suzuki hapo ilikua mwaka 2016 mpaka sahivi nimeshabadilisha mara kadhaa.

Gari huwa nakaa nayo miaka miwili tu nauza na update lingine kutoka 2016 hadi saivi ni miaka 10.

Je, gari lako la kwanza kabisa kununua lilikua la aina gani na nini kilikufanya ununue?

Nauliza kwasababu najua wengi huku najua wana magari kama sio wote
 
Back
Top Bottom