chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
- Thread starter
- #41
huyo mwanae sio wako au ni wa jamaa ?Sina hamu, ilikuwa forester XT nilinunuliwa na wife kumbe nae alihongwa na bosi wake mpya huko alipohamia kikazi Dodoma, nilipogundua ndoa ikafa, gari sijawahi kuendesha tena ipo tu home fundi huwa anakuja kukagua na kuiacha hapo, hadi mwanae akifikisha miaka 18 ndio aendeshe.
Ugomvi uliisha ila naona ni dharau kuingia kwenye hiyo gari. Huyo jamaa alikuja akamuoa kabisa .