Gari lako la kwanza kumiliki lilikuwa ni aina gani?

Gari lako la kwanza kumiliki lilikuwa ni aina gani?

Nilikuwa na Golf GTi 2.0...

1780844800070.png
 
Daah mzee umekula chumvi sijamaliza darasa la saba mkuu una ndinga big up sana..
Mwaka huo nipo zangu Mbeya naenda kuangalia mpira Uwanja wa Sokoine mechi za Tukuyu stars na Mecco ikaja baadae kupata hela ya kiingilio tu nilikua nasota..
Hivi unajua kwamba hata 2026 unaweza kununua gari ya mwaka 1987?

2026 ukinunua gari ya mwaka 1987 haimaanishi umeinunua hiyo gari mwaka 1987.

Mimi gari yangu ya kwanza kununua ndo ilikuwa hiyo Chevrolet Caprice, model ya mwaka 1987.

Niliinunua ikiwa ishatumika na ilikuwa na maili nyingi.
 
Ok sawa mkuu hapo nimekuelewa vizuri..
Kuna aina hizo za Chev nilikua naziona kwenye music tu wakina Snoopy wakicheza nazo mara inanyuka upande huu na ule...
Mimi gari za Mnyamwezi nazozikubali ni Ford na Jeep ingawaje Jeep narudi sana nyuma matengenezo yake hapa Afrika sio ya kitoto..
 
Mimi nilianza na Suzuki hapo ilikua mwaka 2016 mpaka sahivi nimeshabadilisha mara kadhaa.

Gari huwa nakaa nayo miaka miwili tu nauza na update lingine kutoka 2016 hadi saivi ni miaka 10.

Je, gari lako la kwanza kabisa kununua lilikua la aina gani na nini kilikufanya ununue?

Nauliza kwasababu najua wengi huku najua wana magari kama sio wote
SG5 Subaru forester
 
Mimi nimechelewa kuimiliki gari, gari yangu ya kwanza 2019 ilikuwa Prado mchagga, now nina discovery IV.
 
Back
Top Bottom