chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Guta ni mkokoteni bwasheeNiambieni kwanza,hivi Guta ni gari?
Nisije kujichanganya hapa na wenye magari.
Basi acha nisubiri siku ukifunguliwa uzi wetu.Guta ni mkokoteni bwashee
ulimiliki ukiwa ndotoni asubui ukakuta halipo
Basi nipangie wewe niandike gari gani ili usione kua ni ndoto kwako?ulimiliki ukiwa ndotoni asubui ukakuta halipo
Suzuki swift🤣Suzuki ni gari Gani?
Anatakiwa aseme,Sasa Suzuki tu ndo Nini!!Suzuki swift🤣
Labda suzuki carryAnatakiwa aseme,Sasa Suzuki tu ndo Nini!!