Gari lako la kwanza kumiliki lilikuwa ni aina gani?

The 2026 Toyota Land Cruiser 300 VXR
 
Land cruiser mkonge 1997
 
Sina hamu, ilikuwa forester XT nilinunuliwa na wife kumbe nae alihongwa na bosi wake mpya huko alipohamia kikazi Dodoma, nilipogundua ndoa ikafa, gari sijawahi kuendesha tena ipo tu home fundi huwa anakuja kukagua na kuiacha hapo, hadi mwanae akifikisha miaka 18 ndio aendeshe.
Ugomvi uliisha ila naona ni dharau kuingia kwenye hiyo gari. Huyo jamaa alikuja akamuoa kabisa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…