chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
- Thread starter
-
- #41
huyo mwanae sio wako au ni wa jamaa ?Sina hamu, ilikuwa forester XT nilinunuliwa na wife kumbe nae alihongwa na bosi wake mpya huko alipohamia kikazi Dodoma, nilipogundua ndoa ikafa, gari sijawahi kuendesha tena ipo tu home fundi huwa anakuja kukagua na kuiacha hapo, hadi mwanae akifikisha miaka 18 ndio aendeshe.
Ugomvi uliisha ila naona ni dharau kuingia kwenye hiyo gari. Huyo jamaa alikuja akamuoa kabisa .
Mimi ni hohehahe Mkuu kwa Matajiri sipo
Bro Ume tukosea sana sisi ma jobless pro max, mimi kama raisi wao nasema omba radhi.
Wa kwangu mimi,ni mmoja kati ya watatu tuliozaa ana 16yrshuyo mwanae sio wako au ni wa jamaa ?
mpaka mtu awe mtumiaji wa jf ana kitu cha kipekee
Was rav 4 mchagaa, i miss that carMimi nilianza na Suzuki hapo ilikua mwaka 2016 mpaka sahivi nimeshabadilisha mara kadhaa.
Gari huwa nakaa nayo miaka miwili tu nauza na update lingine kutoka 2016 hadi saivi ni miaka 10.
Je, gari lako la kwanza kabisa kununua lilikua la aina gani na nini kilikufanya ununue?
Nauliza kwasababu najua wengi huku najua wana magari kama sio wote
akili na mtazamo chanya, hivi vyote vinamuwekea nafasi ya kuwa na maisha mazuri na gari pia. kwaiyo kama watu wengi wa jf wana gari na maisha mazuri sita shangaa sanaKama kipi mkuu? π
HahahaaaSina hamu, ilikuwa forester XT nilinunuliwa na wife kumbe nae alihongwa na bosi wake mpya huko alipohamia kikazi Dodoma, nilipogundua ndoa ikafa, gari sijawahi kuendesha tena ipo tu home fundi huwa anakuja kukagua na kuiacha hapo, hadi mwanae akifikisha miaka 18 ndio aendeshe.
Ugomvi uliisha ila naona ni dharau kuingia kwenye hiyo gari. Huyo jamaa alikuja akamuoa kabisa .
Kaka sisi ma jobless pro max tupi, na tuna chama chetu kabisa πNaomba radhi mkuu, JF hii watu wengi wanatakaga kutuaminisha wametoboa life, sio wote lakini. π
Kaka sisi ma jobless pro max tupi, na tuna chama chetu kabisa π
Nime farijika kujua watu wa daslam mna tambua uwepo wetu πNdio nafahamu. π
Chanzo cha yote hapo ni uzi wa road trip ulikuwa unanipagawawisha mno kumiliki gari ndio nikawa namfosi wife nami nimiliki, kumbe ndio nachimbia kaburi ndoa yetuHahahaaa
Umenikumbusha stori moja.
Fuso ya mpemba ilipakia nguruwe bwana, watu wakamtonya mpemba gari yako imepakia nguruwe ipo njiani inakuja dar.
Mpemba chap chap akatafuta mteja wa gari juu kwa juu, kisha akampigia dereva akamwambia, ukishashusha mzigo uliopakia nenda car washfulani ukaioshe gari kisha kuna mtu atakuja kuichukua, mie hela nishawekewa kwenye akaunti
Naukumbuka ule uzi wa kitambo sana.Chanzo cha yote hapo ni uzi wa road trip ulikuwa unanipagawawisha mno kumiliki gari ndio nikawa namfosi wife nami nimiliki, kumbe ndio nachimbia kaburi ndoa yetu
Tajiri tenaπWewe ni tajiri sana.
Miguu yangu tu ndiyo gariunalo lakini unatuficha ras
Nilipewa na kulimiliki , labla wewe ndio haujui maana ya kumiliki π€tofautisha kati ya kupewa na kumiliki
πππNilipewa na kulimiliki , labla wewe ndio haujui maana ya kumiliki π€
unaweza pewa utumie lakini usimilikishwe bado mali ni ya aliyekupaNilipewa na kulimiliki , labla wewe ndio haujui maana ya kumiliki