Nilipewa kama zawadi , nikalimiliki nikalifanyia kazi , likanizalishia ,nikaliuza na pesa yake nikanywea bia ,umelewa sasa?unaweza pewa utumie lakini usimilikishwe bado mali ni ya aliyekupa
kwenye maelezo yako hukusema umemilikishwa bali ulipewa
YeahZawadi toka kwa wake inahesabika kumiliki?
hapana bado sijalewa🤣🤣Nilipewa kama zawadi , nikalimiliki nikalifanyika kazi , likanizalishia ,nikaliuza na pesa yake nikanywea bia ,umelewa sasa?
😅 nifanye nini ili unielewehapana bado sijalewa🤣🤣
hakuna cha kufanya😅 nifanye nini ili unielewe
Basi poahakuna cha kufanya
ila punguza mbege hiyo unachapiaBasa poa
Sawa mama 😅ila punguza mbege hiyo unachapia
Hivi brother lile gari lako kengere mbili zinaning'inia lipo wapi??Mhhhhh....🤗
Siku uzi wa baiskeli ya kwanza kumilili ukianzishwa naomba mnitag🙄
Lipo chuma imetulia magetoni mkuu...🤣Hivi brother lile gari lako kengere mbili zinaning'inia lipo wapi??
Hahahaa sawa comradeLipo chuma imetulia magetoni mkuu...🤣
Daah mzee umekula chumvi sijamaliza darasa la saba mkuu una ndinga big up sana..1987 Chevrolet Caprice.