Gari lalipuka Moto Mbezi Beach!. Hakuna Msaada Wowote wa Zimamoto/Wananchi ni Kukodoa tu Macho Kuangalia kama Sinema!

Unataka kuwabebesha Fire lawama za bure, gari za sasahivi ikianza kuwaka hata fire iwe nyuma yako haizimi, ni makarasi ya aluminium, gari inawaka inabaki fuvu engine na gearbox vyote vina yayuka hiyo fire itakuja kuzima nini!!?
 
umbea ndio umekuja kumsema mshkaji wetu huko boya wewe
 
Kwahiyo humu kila mtu anakaa Daslam maana nasikia mara namie nimeiona asubuhi wakati napita wengine mara namie nilikuwepo.

Ninaekaa Mlali ni mie pekee yangu kumbe.
 
Nimeshangaa kuona gari inawaka halafu gari nyingine zinapita pembeni bila wasiwasi
 
Fundi maiko leo na mpeleka polisi jana nilieleza alphad baada ya kuwasha gari inafungua vioo.

Yupo hapa anatoa macho kamuita jamaa ndio anashugulikia
 
Labda wakati unakata ulikuwa mjinga.

Bima nyingi za nyumba ni za MOTO, wengi hawaweki kipengele cha Matetemeko, Mafuriko etc.

Na nyumba haziwaki moto

Hili ndio nalijua leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…